MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
-
- #41
Afadhali umepooza moyo wangu hapo lol.
Wapendwa ni matumaini yangu kuwa mu wazima. Nimewamiss sana.
Najiuliza pale unapokuwa mmekubaliana kupendana, halafu mpenzio anapoamua kuitumia sentensi ya .... Unajua nilishaumizwa sana, so najihami kwa kutokurupukia mahusiano ya kudumu.
Hii huwa ina ujumbe gani? Hivi kweli kama kweli unampenda mpenzio utakuwa na muda wa ku-worry na kuamua kujiprotect from love hurting?
Hahah mkonowapaka umeamua kulitema kaa la moto weye!!una-heat an run maana hajielewi wala kujitambua..........na wanawake wengi ndo kauli zenu..bora utafute trick zingine za kumzungusha mwanamke lakini sio kumwambia eti nilishaumizwa sana....ulikatwa mapanga y akichwa au?