Je hii inaeleweka?

Je hii inaeleweka?

Afadhali umepooza moyo wangu hapo lol.

Hahh Maty wee! Mie tena nshakuwa kibogoyo kwenye mambo hizo tena. Huu moyo ulojaa viraka ka gunia la misumari, kupenda tena mtihani bibi wewe!

Ni hawa wenye meno yao
 
Wapendwa ni matumaini yangu kuwa mu wazima. Nimewamiss sana.

Najiuliza pale unapokuwa mmekubaliana kupendana, halafu mpenzio anapoamua kuitumia sentensi ya .... Unajua nilishaumizwa sana, so najihami kwa kutokurupukia mahusiano ya kudumu.

Hii huwa ina ujumbe gani? Hivi kweli kama kweli unampenda mpenzio utakuwa na muda wa ku-worry na kuamua kujiprotect from love hurting?

una-heat an run maana hajielewi wala kujitambua..........na wanawake wengi ndo kauli zenu..bora utafute trick zingine za kumzungusha mwanamke lakini sio kumwambia eti nilishaumizwa sana....ulikatwa mapanga y akichwa au?
 
Hahah mkonowapaka umeamua kulitema kaa la moto weye!!
Afadhali umeliweka hili maana wengi wetu tunafikiri anayesema hayo ni mwanamme tu.
 
Back
Top Bottom