Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Wadau huyu shem wenu siku hizi akitoka kazini anarudi kaloana na inachukua muda kumkojoza aisee wataalamu hii imekaaje au nakula makombo?
Wadau huyu shem wenu siku hizi akitoka kazini anarudi kaloana na inachukua muda kumkojoza aisee wataalamu hii imekaaje au nakula makombo?
Aisee! Mimi nimeshachukua kikombe halafu unanikatisha tamaa?!Nyuzi za asubuhi kama hizi mara nyingi huwa sio chai 😂
HahahaWeka picha ya hiyo kei tuifanyie uchambuzi.
😂Hahaha
Mwamba anataka kuulinda uchi😃
Pole sana mkuu yote maisha😂Wadau huyu shem wenu siku hizi akitoka kazini anarudi kaloana na inachukua muda kumkojoza aisee wataalamu hii imekaaje au nakula makombo?
Wote waliolinda waliishia kufeli au kufa kwa pressureMwamba anataka kuulinda uchi😃