niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,679
- 5,496
Hayo mambo omera yatakupotezea Muda na kukupa msongo wa mawazo.
Maswali ya watoto wadogo haya. Hwajui kuwa huyo anayechepuka anajikiusha na wala hutajua. Mwanamke unyevu wa sehemu za siri hubadilika kulingana na mambo mengiKwani kuloana kwa uchi wake kuna tatizo gani nawewe? Huna taulo la kumkausha siku ziende? Au unaona uvivu
Afunge mfumo wa GPS kwenye chupi zote za mke wake bwasheeWote waliolinda waliishia kufeli au kufa kwa pressure
Je km wanatumia condom?Yani kama unapenda kuilamba basi moja kwa moja unalamba zhahawa za mwanaume mwenzako 🤮🤮
Nimecheka sana kaka una vituko aiseeAfunge mfumo wa GPS kwenye chupi zote za mke wake bwashee
Atilisti sio mbaya sanaJe km wanatumia condom?
Ni kweli kipenziNyuzi za asubuhi kama hizi mara nyingi huwa sio chai 😂
unaweza kuzeeka bila mke maana waliooa wanataman kuachana na ndoaSisi ambao hatujaoa tukiona hivi tunaishiwa hamu yaani
Basi sawaAtilisti sio mbaya sana
Unalamba mafuta ya CondomJe km wanatumia condom?
Mwamba anataka kuulinda uchi😃
Nimemsaidia kuiwekaWeka picha ya hiyo kei tuifanyie uchambuzi.
😋😋Nimemsaidia kuiweka
Basi sawaa.Unalamba mafuta ya Condom