Je, hii katuni ina ujumbe wa ukweli?


Picha hii sio katuni, Una maoni gani? Ni kweli au Sio kweli?
 
Hapa dini inaingiaje wewe bwege? Escrow, net solution, Richmond nk zilipingwa pia Kwa sababu ya dini Gani? Acha ujinga wa kuchanganya watu. Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere na sehemu kubwa ya ujenzi wa SGR unafanywa na Waturuki ambao ni dini ipi?
Ni mtu wa hovyo na aliyekosa Hoja ndie ataleta udini kwenye hili suala tangu mwanzo kabisa watu waliweka Hoja mezani za kupinga na hata wakisaini na kufanikiwa kuwapa hiyo bandari ibaki kuwa Kuna watu waliona na walipinga ubabe ukatumika
 
Hilo neno "we know nothing" umelitumia ukijua maana yake ama umelitumia kwa mazoea!?
Maana kusema mtu knows nothing na bado anapinga ni kufanya huyo mtu awe naweza sema punguani kabisa maana hata ukisema kichaa au mtoto Hawa huwa hawapingi Wala kushiriki jambo wasilojua
Lakini mfano uliotoa umepingana na maelezo Yako hasa kwa huyo muandishi maana inaonekana alihoji na ukatumika ukali na vitisho kuzuia asiendelee kuhoji.
 
Wewe unajua maana yake?
 
1.ukomo wa mkataba

2.Dp anafaidikaje? Percentage ngapi na sisi ngapi?

Bana eeh nyie si mna PhD Mimi la 7 nawazidije kete?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…