SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Picha hii sio katuni, Una maoni gani? Ni kweli au Sio kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ulichoandika unaonekana wewe ni mdini sanaWanao pinga mkataba wa bandari wengi hawana sababu za msingi ni ushabiki tu huenda na ubaguzi na udini ila hoja hazina msingi.
Wale wanao unga mkono kipengele Chao kikuu ni meli itakaa nusu saa na kuondokaVipengele vinavyopingwa vimeainishwa tayari
Ni mtu wa hovyo na aliyekosa Hoja ndie ataleta udini kwenye hili suala tangu mwanzo kabisa watu waliweka Hoja mezani za kupinga na hata wakisaini na kufanikiwa kuwapa hiyo bandari ibaki kuwa Kuna watu waliona na walipinga ubabe ukatumikaHapa dini inaingiaje wewe bwege? Escrow, net solution, Richmond nk zilipingwa pia Kwa sababu ya dini Gani? Acha ujinga wa kuchanganya watu. Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere na sehemu kubwa ya ujenzi wa SGR unafanywa na Waturuki ambao ni dini ipi?
Hilo neno "we know nothing" umelitumia ukijua maana yake ama umelitumia kwa mazoea!?Na..... wengi we know nothing.... bali kuunga mkono tu.
Nilimsikia Msigwa akifafanua jana kwa waandishi wa habari ile yule mwandishi wa mwisho alipojaribu kumweleza vifungu vyenye utata kwenye mktaba au makubaliano hayo, yeye akapinga na kuwa mkali sana kiasi kuwa yule mwandishi aliamua kutouliza swali lake kabisa. Halafu kuna waandishi waliokuwa wanatamka kuwa wameelewa maelezo yake bila kujua mkataba au makubalinao yenyewe ni nini.
Mtani ni ngumu sana kuelimisha mtu aliye na upande. Humu tumeandika sana kuhusu mkataba, unafikiri makuwadi wa DP World watafungua macho? Ukimya wa Samia una majibuMtani wangu OKW BOBAN SUNZU unasemaje juu ya hili. 😀
Siyo rahisi Mtani.Mtani ni ngumu sana kuelimisha mtu aliye na upande. Humu tumeandika sana kuhusu mkataba, unafikiri makuwadi wa DP World watafungua macho? Ukimya wa Samia una majibu
Wewe unajua maana yake?Hilo neno "we know nothing" umelitumia ukijua maana yake ama umelitumia kwa mazoea!?
Maana kusema mtu knows nothing na bado anapinga ni kufanya huyo mtu awe naweza sema punguani kabisa maana hata ukisema kichaa au mtoto Hawa huwa hawapingi Wala kushiriki jambo wasilojua
Lakini mfano uliotoa umepingana na maelezo Yako hasa kwa huyo muandishi maana inaonekana alihoji na ukatumika ukali na vitisho kuzuia asiendelee kuhoji.
Dah hili liMama limetuumiza chaka kweli😠Mtu kasaini 2022 mnaupinga 2023 hii ni akili kweli
Najua ila sidhani kama uko empty kiasi Cha kusema "you know nothing"Wewe unajua maana yake?
Huyu ni bibi sio mamaDah hili liMama limetuumiza chaka kweli😠
Mtu akikuita katuni pigana usikubali.Yapi maoni yako?View attachment 2668423