Je, hii 'Media Blackout' ya leo juu ya tukio zima la uchukuaji fomu wa Tundu Lissu ndiko kumuenzi vyema Mwanahabari Hayati Rais Mkapa?


Na kwa Kuongezea tu ukiona Mzee Joseph Butiku anaongea na kutoa 'Observations' zake jua kwa 99.9% hayo pia yangekuwa Mawazo ya Nyerere.
 
Na kwa Kuongezea tu ukiona Mzee Joseph Butiku anaongea na kutoa 'Observations' zake jua kwa 99.9% hayo pia yangekuwa Mawazo ya Nyerere.
Swadakta my brother. Jana kwa maneno na body language ya mzee Butiku nina uhakika asilimia 100 kuwa Chadema wanachukua nchi October 2020.
 

Na kwanini iwe hivi Kwao hadi wapitie 'Mateso' haya yote na kwanini kwa CCM iliwezekana na hawakuyapitia haya? Tuacheni 'Unafiki' sometimes.
 
Swadakta my brother. Jana kwa maneno na body language ya mzee Butiku nina uhakika asilimia 100 kuwa Chadema wanachukua nchi October 2020.

Nakubaliana nawe sehemu fulani ila hilo la CHADEMA kuchukua nchi kwa sasa 'nakukatalia' kwani hata Wao kuna mahala 'walijichanganya' sana tu.
 
Ninaanza kuamini taratibu kuwa yawezekana kuna 'Wanafiki' na 'Wapumbavu' fulani 'wanamshauri' vibaya na 'Kumponza' Kisiasa Rais wangu JPM.
Sio kwamba yeye ndo "pioneer" anatoa maelekezo kwa washauri wake maarufu kama "amri toka juu"?
 
Kama ni kweli media zimetishwa hakuna tatizo maana siku hizi utandawazi umetandaa mnahofia nini?

Kama kuna kilichozuiwa kuonekana si tumeona shida iko wapi?
 
Ukiuliza swali la namna hiyo lazima uje na jibu kwanza kama TBC ni mali ya CCM, C= Chama, C= Cha, M= Majang............a, huu ujasiri wa kujimilikisha chombo hiki cha umma wameupata wapi?
 
Kuota ni haki ya kila mmoja maana sio tendo la hiyari
 
Tatizo Tundulisu ni kiropo ropo anaweza tukana chombo cha habar na chenyewe kikahusika so anae wakimbiza waandish wa habar ni yeye mwenyewe
 
Nasubiri taarifa ya habari ya TBC leo saa moja usiku(wanaiita, Hadubini kwa siku ya jumamosi) Kama wataonyesha.
 
Uko sahihi Sasa kipindi kina ruzuku walishindwa kuwekexa Mambo muhimu ka haya, CDM inabidi kutafta vichwa vipya vya kuwapa ushauri, hii kulia Lia faulo za ccm hazisaidii

Ushauri wako ni mzuri, tatizo hapo ni zaidi ya cdm kukosa hizo online tv nk. Dhamira ya kiongozi wa nchi ndio tatizo. Hata hao wanaomzunguka na kuwaagiza watishie vyombo vya habari wanajua kabisa sio sawa anachofanya, ila wafanyeje wakati wanafamilia za kulisha. Hali hii ya mapenzi bandia,ndio inawafanya wanaccm waseme wao ni imara kuliko wakati mwingine wowote! Cha ajabu kuna watu wanaamini kuwa kwa sasa ccm ni imara.

Hakuna kitu kigumu dunia hii kama kulazimisha kupendwa. Siku za nyuma kidogo niliwahi kumpenda mrembo mmoja, nilikuwa nampenda kweli kweli. Lakini mrembo yule alikuwa na mpenzi wake. Kwakuwa nilikuwa na vinoti noti si haba, nilitumia umasikini wa mrembo yule kumpata. Baada ya kugundua kwamba ana mpenzi wake, nikaanza kutumia vinoti vyangu kumtengenezea mazingira hatarishi yule mpenzi wake mwingine, kwani nilijua nikikosa mshindani nitakalia kiti kwa raha. Yule mrembo alinisimulia, lakini kwa dhati ya moyo wangu nilikuwa najua fika mapenzi ya yule mwanadada ni kwa yule mshindani wangu. Yule mrembo nilifika mahali nikawa namfanyia undava ili anikubali mimi tu. Siku ya siku yule mrembo akapata ujasiri akaniambia ni kweli namsaidia, lakini hanipendi, bali ni shida tu, hivyo akasema tuachane. Na kweli akaenda kuolewa na mshindani wangu. Hali ile iliniacha na maumivu makubwa ya moyo. Ila hali ile iliniacha na fundisho la kuwa kama hupendwi hupendwi tu, hata utumie nguvu kubwa kiasi gani. Hali hii ndiyo inayokuta ccm kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…