Je, hii ndio nchi inayoongozwa kulindwa zaidi duniani ?

Je, hii ndio nchi inayoongozwa kulindwa zaidi duniani ?

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
2,748
Reaction score
5,112
Mongolia.gif
Mongolia ni landlocked country imepakana na China na Russia pekee.

Yote haya mataifa mawili ni nuclear powers na mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi.

Ili uweze kuivamia Mongolia na kuiangamiza ni muhimu kuhakikisha hawa wote wawili hawapatani na Mongolia jambo ambalo gumu ndio uweze kutumia anga ama ardhi zao kwa mashambulizi.
 
Itavamiwa na Russia
China naye ana maslahi makubwa sana na hiyo Mongolia tena ya kihistoria hata uhuru wao Mongolia bila support ya soviet wakati China ilipokuwa dhaifu hata hicho kipande cha ardhi wasinge kipata.

Labda Russia awageuke sasa japo China hatokuwa upande wa Russia hili na uhakika nalo.
 
Mongolia imewekewa mtego na ICC imkamate PUTIN dunia nzima inasubir hii amri na isipotekelezwa nini kitaipata Mongolia. Tusubir tuone huu mtego kwa hawa Underdog waliovishwa bomu.
Pole kwa Mongolia
Mongolia ni ngumu kuivamiwa na watu wa nje ya Russia ama China kwa sababu lazima utumie anga ama ardhi ya China au Russia.
 
View attachment 3084076Mongolia ni landlocked country imepakana na China na Russia pekee.

Yote haya mataifa mawili ni nuclear powers na mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi.

Ili uweze kuivamia Mongolia na kuiangamiza ni muhimu kuhakikisha hawa wote wawili hawapatani na Mongolia jambo ambalo gumu ndio uweze kutumia anga ama ardhi zao kwa mashambulizi.
Cc adriz
 
Nchi ambayo ina historia ya kuwa na makamanda shupavu Leo hii inategemea kulindwa
Dunia hii iache tu kama ilivyo ugiriki walifirisika ulaya ikawaokoa.

Mali leo inateswa na ugaidi.

Italy ipo ipo tu, Ujerumani anaomba msaada wa U.S kulindwa, Japan ana lala mika China ni wakorofi.

Kweli mbabe wa leo mnyonge wa kesho.

Uingereza ni kupe wa U.S.A
 
Kama Japan Leo hii anakoromewa na north Korea dunia hiii huyu uturuki nae lilikuwa dola kubwa Leo hii amebaki kubweka tu
 
Kama Japan Leo hii anakoromewa na north Korea dunia hiii huyu uturuki nae lilikuwa dola kubwa Leo hii amebaki kubweka tu
Ureno wako wapi, uholanzi wako wapi ila dunia hii tubaki kuitazama tu

Wenda labda na sisi miaka mingi ijayo tukaja kusumbua Afrika nzima na sehemu kubwa ya dunia maana dunia haitabiriki
 
Kama Japan Leo hii anakoromewa na north Korea dunia hiii huyu uturuki nae lilikuwa dola kubwa Leo hii amebaki kubweka tu
Ndiko Tanganyika tunakoelekea kwa Zanzibar; Zanzibar wakishajizatiti kisiasa wanaanza kutupangia namna ya kuishi huku viongozi wao wakijimilikisha sehemu kubwa ya Tanganyika kwa mgongo wa uwekezaji uchwara.
Vijana wa Tanganyika wanajiajiri kupitia uchawa ili mkono uende kinywani...mtavuna mabua msipozinduka kutoka usingizi wa fofofooo.
 
China naye ana maslahi makubwa sana na hiyo Mongolia tena ya kihistoria hata uhuru wao Mongolia bila support ya soviet wakati China ilipokuwa dhaifu hata hicho kipande cha ardhi wasinge kipata.

Labda Russia awageuke sasa japo China hatokuwa upande wa Russia hili na uhakika nalo.
Russia hachelewi kugeuka waulize Ukraine
 
Mongolia hawezi vamiwa na yeyoye kati ya China na Russia,....
yule ataendelea kuwa vile vile kwa sababu ameamua kuwaheshimu hao mabwana mawili nao hawana sababu za kumvamia....

Russia wangetaka kumvamia wangemtawala kipindi kile wanamfukuza mjapani hapo, maana ni Russia ndiye. alimfukuza mjapani ndani ya China na Mongol,.......
 
Na ndio maana katika Urusi kuna warusi wanamuonekano kama wa wachina wachina hivi lakini ni wa asili ya Mongolian wale waliohamia Urusi miaka mingi
 
Back
Top Bottom