KAKA YULE
JF-Expert Member
- May 2, 2024
- 275
- 478
Ongezea russia kavamiwa na ukraineDunia hii iache tu kama ilivyo ugiriki walifirisika ulaya ikawaokoa.
Mali leo inateswa na ugaidi.
Italy ipo ipo tu, Ujerumani anaomba msaada wa U.S kulindwa, Japan ana lala mika China ni wakorofi.
Kweli mbabe wa leo mnyonge wa kesho.
Uingereza ni kupe wa U.S.A