China naye ana maslahi makubwa sana na hiyo Mongolia tena ya kihistoria hata uhuru wao Mongolia bila support ya soviet wakati China ilipokuwa dhaifu hata hicho kipande cha ardhi wasinge kipata.Itavamiwa na Russia
Mongolia ni ngumu kuivamiwa na watu wa nje ya Russia ama China kwa sababu lazima utumie anga ama ardhi ya China au Russia.Mongolia imewekewa mtego na ICC imkamate PUTIN dunia nzima inasubir hii amri na isipotekelezwa nini kitaipata Mongolia. Tusubir tuone huu mtego kwa hawa Underdog waliovishwa bomu.
Pole kwa Mongolia
Watamsafirisha kupitia anga lipi sasa!Mongolia imewekewa mtego na ICC imkamate PUTIN dunia nzima inasubir hii amri na isipotekelezwa nini kitaipata Mongolia. Tusubir tuone huu mtego kwa hawa Underdog waliovishwa bomu.
Pole kwa Mongolia
Cc adrizView attachment 3084076Mongolia ni landlocked country imepakana na China na Russia pekee.
Yote haya mataifa mawili ni nuclear powers na mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi.
Ili uweze kuivamia Mongolia na kuiangamiza ni muhimu kuhakikisha hawa wote wawili hawapatani na Mongolia jambo ambalo gumu ndio uweze kutumia anga ama ardhi zao kwa mashambulizi.
Niko pamoja na Wamongolia , wakiwazingua tu wanarudisha enzi za Ubarbarian ni dozi tu .
Dunia hii iache tu kama ilivyo ugiriki walifirisika ulaya ikawaokoa.Nchi ambayo ina historia ya kuwa na makamanda shupavu Leo hii inategemea kulindwa
Kama Japan Leo hii anakoromewa na north Korea dunia hiii huyu uturuki nae lilikuwa dola kubwa Leo hii amebaki kubweka tuDunia hii iache tu kama ilivyo ugiriki walifirisika ulaya ikawaokoa.
Mali leo inateswa na ugaidi.
Italy ipo ipo tu, Ujerumani anaomba msaada wa U.S kulindwa, Japan ana lala mika China ni wakorofi.
Kweli mbabe wa leo mnyonge wa kesho.
Uingereza ni kupe wa U.S.A
Ureno wako wapi, uholanzi wako wapi ila dunia hii tubaki kuitazama tuKama Japan Leo hii anakoromewa na north Korea dunia hiii huyu uturuki nae lilikuwa dola kubwa Leo hii amebaki kubweka tu
Ndiko Tanganyika tunakoelekea kwa Zanzibar; Zanzibar wakishajizatiti kisiasa wanaanza kutupangia namna ya kuishi huku viongozi wao wakijimilikisha sehemu kubwa ya Tanganyika kwa mgongo wa uwekezaji uchwara.Kama Japan Leo hii anakoromewa na north Korea dunia hiii huyu uturuki nae lilikuwa dola kubwa Leo hii amebaki kubweka tu
Russia hachelewi kugeuka waulize UkraineChina naye ana maslahi makubwa sana na hiyo Mongolia tena ya kihistoria hata uhuru wao Mongolia bila support ya soviet wakati China ilipokuwa dhaifu hata hicho kipande cha ardhi wasinge kipata.
Labda Russia awageuke sasa japo China hatokuwa upande wa Russia hili na uhakika nalo.
ππππWatamsafirisha kupitia anga lipi sasa!
Hata siku moja huwezi sikia Urusi inazozana na nchi za mashabiki kwake,na sababu hizo nchi ziko mbali na wapenda damu, chokochoko na vivuruge wa west NATO.Itavamiwa na Russia