Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetisha comred!!Hata barua wanaangalia mwisho kama imsainiwa[emoji23][emoji23]
Lakini lazima uangalie mwanzo ujue ilikotoka [emoji1787][emoji1787]
Tofauti na miaka mingine ya Uchaguzi Mkuu, mwaka huu Tume ya Uchaguzi Tanzania(NEC) imechapisha form ya kupigia kura kwa ngazi ya Urais wa JMT isiyo na mfumo rasmi wa mpangilio wa alfabeti.
Hii ni tofauti na form ya Urais wa Zanzibar chini ya ZEC ambayo imechapishwa kwa kufuata alfabeti. Form ya ngazi za wabunge na madiwani pia imefuata mtiririko huohuo.
Hii inaweza kuonekana jambo dogo machoni pa wengi, lakini katika fitna na mbinu za ushindi, Chama Cha Mapinduzi hapa kimecheza karata mahiri kwani mshindani na mpinzani mkubwa wa Mgombea Urais wa CCM ndugu Lissu amewekwa chini kabisa kwenye mpangilio wa Wagombea wote wa Urais.
Na kwa kuthibitisha hilo, mgombea Urais wa CCM akiwa Hedaru-Same amenukuliwa akisema:
"Wewe siku ya kupiga kura wala usihangaike kuangalia majina yote ya wagombea. CCM tupo juu kabisa ya wagombea wote, utamuona Mama Samia Suluhu, utamuona baba mmoja ana kaupara kazurikazuri hivi. Weka tiki hapo. Usihangaike kuangalia wagombea wengine, wale hawakuhusu. Angalia jina la juu ambapo CCM tupo mwanzo"
View attachment 1607811
Akaenda mbali zaidi akaongezea
View attachment 1607812
"Watu wa Hedaru, huu ndio mfano wa karatasi ya kupigia kura. Mimi na Mama Samia Suluhu tupo mwanzo kabisa kwenye karatasi ya kupigia kura. Ukifika tu unaweka tiki kwangu, unachukua kwa Mbunge Mathayo na diwani. Hayo majina mengine huko usiangalie, tena kama majina ya huko chini usiangalie kabisa, unaweza kupofuka"
Hii ni mbinu nzuri ya ushindi, kuna maeneo watu hawajibiidishi na kutafuta jina la mgombea mshindani wa CCM, watatazama jina la mwanzo na kuweka tiki.
Na ili kuiboresha mbinu yao, sasa CHAMA CHA MAPINDUZI kimetoa karatasi ya mfano wa kupigia kura na mshindani wao mkuu amekatwa na haonekani, hii ni hatua ya mwanzo ya "kumuondoa" mgombea mwenye ushindani na chama chao na NEC inawajibika kutoa tamko kama "karatasi ya Mfano" ya kupigia kura inapaswa kuhaririwa kwa maslahi ya chama kimoja cha siasa, maana kutoa "karatasi ya mfano" isiyofanana na "karatasi rasmi" kwa kumkata mmoja wa wagombea inaleta maswali mengi.
Hii ni wiki ya lala salama, tunapohubiri amani, tukumbuke kuwa AMANI NI ZAO LA HAKI...Tutendeane haki ili kudumisha amani ya nchi.
View attachment 1606918
Kwanini uone wamekosea? Ulitaka kila mgombea wa Urais awepo kwenye karatasi yake?Wamekosea sana kumuweka JPM pamoja na hawa wasio hata na chembe ya uzalendo. Wamekosea sana
Badala ya kulalamika na kusubiri tume eti itoe tamko kwanini CCM wamekata karatasi ya mfano ni vema mngejikita kwenye kuwaelimisha wapiga kura wenu namna rahisi ya kumpigia kura mgombea wenu.
Kibaya zaidi mnapozidi kuijadili hiyo karatasi kuwa CCM wamewekwa wa kwanza, basi automatically mnazidi kuwasaidia CCM maana hata wale ambao walikuwa hawajui hilo watajikuta wanajua na wakanasa kwenye huo mtego wa kuweka tick kwa mgombea aliye juu zaidi. Ni bahati mbaya kwa vyama vya upinzani havijajifunza kutumia weekness ya CCM kama mtaji wao wa kujijenga. Na hata pia hawajajua kutumia changamoto wanazokutana nazo na kuzigeuza kuwa mtaji wao wa kisiasa.
Chadema ingewekwa karibu na Chauma watu wangebabaika lkn kule mwisho mbona ni raha tupu wala mtu aangaiki kutafutaHuko Huko mwisho ni vizuri wamerahisisha kutafuta kuliko ingukuwa ktkt unasema tu weka tick chini mwisho
Haya ndio matatizo ya kutokuwa na Tume Huru..ukiambiwa unafuata tu ..ila hii bado haijabadilisha kitu Lissu atashinda kwenye sanduka la kuraTofauti na miaka mingine ya Uchaguzi Mkuu, mwaka huu Tume ya Uchaguzi Tanzania(NEC) imechapisha form ya kupigia kura kwa ngazi ya Urais wa JMT isiyo na mfumo rasmi wa mpangilio wa alfabeti.
Hii ni tofauti na form ya Urais wa Zanzibar chini ya ZEC ambayo imechapishwa kwa kufuata alfabeti. Form ya ngazi za wabunge na madiwani pia imefuata mtiririko huohuo.
Hii inaweza kuonekana jambo dogo machoni pa wengi, lakini katika fitna na mbinu za ushindi, Chama Cha Mapinduzi hapa kimecheza karata mahiri kwani mshindani na mpinzani mkubwa wa Mgombea Urais wa CCM ndugu Lissu amewekwa chini kabisa kwenye mpangilio wa Wagombea wote wa Urais.
Na kwa kuthibitisha hilo, mgombea Urais wa CCM akiwa Hedaru-Same amenukuliwa akisema:
"Wewe siku ya kupiga kura wala usihangaike kuangalia majina yote ya wagombea. CCM tupo juu kabisa ya wagombea wote, utamuona Mama Samia Suluhu, utamuona baba mmoja ana kaupara kazurikazuri hivi. Weka tiki hapo. Usihangaike kuangalia wagombea wengine, wale hawakuhusu. Angalia jina la juu ambapo CCM tupo mwanzo"
View attachment 1607811
Akaenda mbali zaidi akaongezea
View attachment 1607812
"Watu wa Hedaru, huu ndio mfano wa karatasi ya kupigia kura. Mimi na Mama Samia Suluhu tupo mwanzo kabisa kwenye karatasi ya kupigia kura. Ukifika tu unaweka tiki kwangu, unachukua kwa Mbunge Mathayo na diwani. Hayo majina mengine huko usiangalie, tena kama majina ya huko chini usiangalie kabisa, unaweza kupofuka"
Hii ni mbinu nzuri ya ushindi, kuna maeneo watu hawajibiidishi na kutafuta jina la mgombea mshindani wa CCM, watatazama jina la mwanzo na kuweka tiki.
Na ili kuiboresha mbinu yao, sasa CHAMA CHA MAPINDUZI kimetoa karatasi ya mfano wa kupigia kura na mshindani wao mkuu amekatwa na haonekani, hii ni hatua ya mwanzo ya "kumuondoa" mgombea mwenye ushindani na chama chao na NEC inawajibika kutoa tamko kama "karatasi ya Mfano" ya kupigia kura inapaswa kuhaririwa kwa maslahi ya chama kimoja cha siasa, maana kutoa "karatasi ya mfano" isiyofanana na "karatasi rasmi" kwa kumkata mmoja wa wagombea inaleta maswali mengi.
Hii ni wiki ya lala salama, tunapohubiri amani, tukumbuke kuwa AMANI NI ZAO LA HAKI...Tutendeane haki ili kudumisha amani ya nchi.
View attachment 1606918
Hivi kwa nini CCM mnapenda kuwaona Watanzania wote hawana akili isipokuwa nyie peke yenu? Watanzania wa sasa ambao asilimia kubwa ya wapiga kura wana miaka chini ya 40 na Elimu ya kuanzia kidato cha NNE shule za kata hata kama walipata dv4 ya mwisho washindwe kusoma na kuweka tick wanapopataka!!? Acheni kudharau wananchi kiasi hicho.Tofauti na miaka mingine ya Uchaguzi Mkuu, mwaka huu Tume ya Uchaguzi Tanzania(NEC) imechapisha form ya kupigia kura kwa ngazi ya Urais wa JMT isiyo na mfumo rasmi wa mpangilio wa alfabeti.