Je, hii ni aibu kwa spika Job Ndugai?

Je, hii ni aibu kwa spika Job Ndugai?

Nimekaa na kutafakari juu ya siasa za Tanzania. Maana ni kama zimekosa muelekeo kabisa

Je, ina maana Spika Ndugai na bunge lake waliapisa wabunge ambao hawajapata baraka ya chama chao kuwa wabunge wa viti maalumu?

Kwa nini Spika alijigamba kuwa anawatambua hawa wakina mama wa Chadema ili hali akijua ni kinyume na katiba ya JMT?

Spika alijisahau kuwa katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mbunge akikoma kuwa mwanachama anakosa sifa ya kuwa mbunge?

Je kwa ubabe aliouonyesha na kudai atawalinda kwa udi na uvumba,haoni kama wamemuumbua.

My opinion,kiongozi ni mtu kwenye dhamana katika jamii,kama anatakiwa kusimamia haki basi anatakiwa asiwe na double standard. Maana wamama waliofutwa ubunge Chadema leo wanaweza kuwa wamemtia mtu nishai.
Kukata rufaa ni hatua.
 
Nyie hamna hata util kidogo kwa katiba mliyoitengeneza wenyewe na kuiasisi wenyewe. Na Sisi tunawasindilia tu mijisindano hadi pale mtakapotambua kuwa taifa hili ni la Watanzania na sio la wana CCM, na hayo matabaka mnayoyaweka kwamba CCM na watu wake ndio raia daraja la kwanza na wapinzani kundi moja na mashetani, hakika vinaleta mpasuko mkubwa sana kwa wananchi. Na Kuna siku inakuja isiyo na jina tutauana wenyewe kwa wenyewe.
Kuna msemo, ukitaka kumuua mbwa, mpe jina baya
aka misemo ya wahenga.
 
Then wanajiita wanademokrasia ,ni aibu kubwa sana wa wanademokrasia kutukana watu humu
Usipoandika wanachokitaka kwao ni taabu tuu maana siku zote hawataki kusikia unachokisema wewe ila wanachotaka kusikia wao

Walimwengu
 
Gwajima na mdee wako bungeni wanakula bata nyie endeleeni kupiga kelele humu bila kazi
Wewe ndiye huna kazi ndiyo maana unapiga pambio za kusifia udhalimu, ukitoka na buku saba unarudi kwa shemeji yako unakaa kwenye sofa na remote mkononi hata hujui bei ya umeme ndiyo maana unasifia ujinga ujinga tu. Unaishi kwa matumaini ya kuteuliwa.
JamiiForums1821250958.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Nimekaa na kutafakari juu ya siasa za Tanzania. Maana ni kama zimekosa muelekeo kabisa

Je, ina maana Spika Ndugai na bunge lake waliapisha wabunge ambao hawajapata baraka ya chama chao kuwa wabunge wa viti maalumu?

Kwa nini Spika alijigamba kuwa anawatambua hawa wakina mama wa Chadema ili hali akijua ni kinyume na katiba ya JMT?

Spika alijisahau kuwa katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mbunge akikoma kuwa mwanachama anakosa sifa ya kuwa mbunge?

Je kwa ubabe aliouonyesha na kudai atawalinda kwa udi na uvumba,haoni kama wamemuumbua.

My opinion,kiongozi ni mtu kwenye dhamana katika jamii,kama anatakiwa kusimamia haki basi anatakiwa asiwe na double standard. Maana wamama waliofutwa ubunge Chadema leo wanaweza kuwa wamemtia mtu nishai.
Nani alikudanganya kwamba kuna mwanaccm mwenye aibu ?
 
Wewe ndiye huna kazi ndiyo maana unapiga pambio za kusifia udhalimu, ukitoka na buku saba unarudi kwa shemeji yako unakaa kwenye sofa na remote mkononi hata hujui bei ya umeme ndiyo maana unasifia ujinga ujinga tu. Unaishi kwa matumaini ya kuteuliwa.View attachment 1661787

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kha! 😂😂😂😂😂 huu utani wa kizamani sana hahaha
 
Nani alikudanganya kwamba kuna mwanaccm mwenye aibu ?

KIAPO CHA CCM​

1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja.
2.Nitatumikia nchi yangu na watu wake wote.
3.Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umasikini, ujinga, maradhi na dhuruma.
4.Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa.
5.Cheo ni dhamana, sutatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.
6.Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kutumia elimu yangu kwa faida ya wote.
7. Nitashirikiana na wenzangu wote kujenga nchi yetu.
8.Nitasema ukweli daima fitina kwangu ni mwiko.
9.Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na raia mwema wa Tanzania na Afrika.

Ee mwenyezi Mungu nisaidie
 
Wanachadema hawana kiapo chochote

Back
Top Bottom