Je, hii ni aibu kwa spika Job Ndugai?

Je, hii ni aibu kwa spika Job Ndugai?

Covid-19 wamefukuzwa na chama kwasababu wametumia haki yao ya kikanuni inayowataka viti maalum kwenda Bungeni.
Wamefumuzwa kwa uonevu tu na hila za wanasiasa uchwara.
kama ni sababu ya uchaguzi kutokuwa huru na wahaki mbona hata 2015 wanadai uchaguzi aukuwa huru na wa haki lakini waliingia Bungeni pamoja na viti maalum?
 
Kuna watu hawastahili kuwa kwenye hii forum kwani akili zao ni za kitoto mno!!!! Forgive me kwa kusema hivi kwani ni kweli kila moja ana uhuru wa mawazo yake!
 
Nimekaa na kutafakari juu ya siasa za Tanzania. Maana ni kama zimekosa muelekeo kabisa

Je, ina maana Spika Ndugai na bunge lake waliapisha Wabunge ambao hawajapata baraka ya chama chao kuwa wabunge wa viti maalumu?

Kwa nini Spika alijigamba kuwa anawatambua hawa wakina mama wa Chadema ili hali akijua ni kinyume na katiba ya JMT?

Spika alijisahau kuwa katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mbunge akikoma kuwa mwanachama anakosa sifa ya kuwa mbunge?

Je, kwa ubabe aliouonyesha na kudai atawalinda kwa udi na uvumba,haoni kama wamemuumbua.

My opinion, kiongozi ni mtu kwenye dhamana katika jamii,kama anatakiwa kusimamia haki basi anatakiwa asiwe na double standard. Maana wamama waliofutwa ubunge Chadema leo wanaweza kuwa wamemtia mtu nishai.
Kaka Spika wa mwisho tuliyekuwa kuwa naye alikuwa ni Samwel Sitta (RIP) - Huyu naye unamwita Spika ama ni kujaza position tu isikae wazi ;
 
Ufipa wanahaha sana aisee kubalini tuu kuwa zama zenu zimeisha CCM imewapoteza kabisa katika siasa za nchi hii.
 
Back
Top Bottom