Je, hii ni aibu kwa spika Job Ndugai?

Kukata rufaa ni hatua.
 
aka misemo ya wahenga.
 
Then wanajiita wanademokrasia ,ni aibu kubwa sana wa wanademokrasia kutukana watu humu
Usipoandika wanachokitaka kwao ni taabu tuu maana siku zote hawataki kusikia unachokisema wewe ila wanachotaka kusikia wao

Walimwengu
 
Gwajima na mdee wako bungeni wanakula bata nyie endeleeni kupiga kelele humu bila kazi
Wewe ndiye huna kazi ndiyo maana unapiga pambio za kusifia udhalimu, ukitoka na buku saba unarudi kwa shemeji yako unakaa kwenye sofa na remote mkononi hata hujui bei ya umeme ndiyo maana unasifia ujinga ujinga tu. Unaishi kwa matumaini ya kuteuliwa.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Nani alikudanganya kwamba kuna mwanaccm mwenye aibu ?
 
Kha! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huu utani wa kizamani sana hahaha
 
Nani alikudanganya kwamba kuna mwanaccm mwenye aibu ?

KIAPO CHA CCM​

1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja.
2.Nitatumikia nchi yangu na watu wake wote.
3.Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umasikini, ujinga, maradhi na dhuruma.
4.Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa.
5.Cheo ni dhamana, sutatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.
6.Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kutumia elimu yangu kwa faida ya wote.
7. Nitashirikiana na wenzangu wote kujenga nchi yetu.
8.Nitasema ukweli daima fitina kwangu ni mwiko.
9.Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na raia mwema wa Tanzania na Afrika.

Ee mwenyezi Mungu nisaidie
 
Wanachadema hawana kiapo chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…