Je, hii ni aibu kwa spika Job Ndugai?

Covid-19 wamefukuzwa na chama kwasababu wametumia haki yao ya kikanuni inayowataka viti maalum kwenda Bungeni.
Wamefumuzwa kwa uonevu tu na hila za wanasiasa uchwara.
kama ni sababu ya uchaguzi kutokuwa huru na wahaki mbona hata 2015 wanadai uchaguzi aukuwa huru na wa haki lakini waliingia Bungeni pamoja na viti maalum?
 
Aibu sana kwa.
Nawatakia heri ya mwaka mpya
Nalog off
 
Kuna watu hawastahili kuwa kwenye hii forum kwani akili zao ni za kitoto mno!!!! Forgive me kwa kusema hivi kwani ni kweli kila moja ana uhuru wa mawazo yake!
 
Kaka Spika wa mwisho tuliyekuwa kuwa naye alikuwa ni Samwel Sitta (RIP) - Huyu naye unamwita Spika ama ni kujaza position tu isikae wazi ;
 
Ufipa wanahaha sana aisee kubalini tuu kuwa zama zenu zimeisha CCM imewapoteza kabisa katika siasa za nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…