Je, hii ni hatua sahihi kwa mzazi kuichukua?

Natamani kujua chanzo cha mzazi huyo kufanya hivyo ...
 
Sawa tu....hii ndo dunia ilipo.Upendo hakuna
 
Kama kijana ana kilobyte za upumbavu zilizojaa ataanzisha Vita na mzee wake mwendo wa kuwindana tabu kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…