Je, hii ni hidden camera?

Angalizo kwenye kuweka hii kitu jitahidi iwe sehemu isiopata mwanga wa taa endapo zikiwaka. Kuna fundi alifunga zangu alafu akaziweka pembeni kabisa ya taa kilichotokea dah vichekesho giza limeingia taa inawaka then inadetect mwanga inazima mpka niliporudi wife haelewi nn tatizo ikabidi nimrudishe fundi tuzihamishe
 
Pole sana
 
Ameongezea kile yeye amedhani ni sahihi na ameonesha yupo tayari kusahihishwa. Kasahihishwa na jibu kapata.

Sasa wewe hata kumjibu tu umeshindwa unaleta ngonjera, bibi vipi.
Mimi nimeona jibu alilopewa, sina ubishi nalo na kwangu halina utata.

Utata nimeuona kwa muulizaji. Hilo ni somo, siyo kwake tu, bali na kwa wengine. Tunapouliza swali tusijifanye tunajuwa jibu. Ni ujinga.

Kuuliza si ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…