Je, hii ni hotuba ya mwisho ya Mpina?

Mkuu sioni mahakama ya kutoa hukumu ya haki, utashangaa jaji mkuu atakutana na spika, kisha utatoka uamuzi wa kipuuzi sana. Mpina huwa anasikia maamuzi ya mizengwe na unaweza kukuta anasema mahakama zinatenda haki, acha aende safari hii akajionee mubashara.
 
achana na Ramli gentleman 🀣

uongo hauwez kukufukisha popote wew na mpina πŸ’
Kama na ww ni miongoni mwa watu mnaofaidika na pesa za ununuzi wa magari. Ambazo kila mwaka zinapandishwa bajeti kumbe ni wizi mkubwa.

Basi tulia, ule tu hizo pesa. Ila mwenyezi Mungu kuna jambo zuri la kuwaibisha wezi wote, wanaotesa wananchi wa Tanzania kwa tamaa tu. Subiri uone. CCM na CDM mtahaibishwa na Mungu wa, mbinguni. Kenya Mungu amejibu.
 
uongo wake umekataliwa na bunge tena kwa adhabu na next week kiburi jeuri na uongo wake unaenda kutaliwa mahakamani πŸ’
Hujaelewa somo. Muongo mpe uhuru wa kusema tumjue huyu muongo.

Kwa nini unamfunga mdomo muongo asiseme ili tumjue muongo?
 
Hujaelewa somo. Muongo mpe uhuru wa kusema tumjue huyu muongo.

Kwa nini unamfunga mdomo muongo asiseme ili tumjue muongo?
ukiona mtu anamvumilia muongo na kupoteza time kumskiza ujue nae muongo anataka tu kuskia na kuiba mbinu za uongo za muongo mwenzie πŸ’
 
Vita dhidi ya Dola haijawahi na haitakaa iwe nyepesi. Ule ni mfumo.

Kwani spika angepokea riport yake akasema anaifanyia kazi Kisha ikayeyuka kungekua na ubaya gani?

Ni kweli mahakama inaweza kulimaliza juu Kwa juu au kulipuuzia lakini wanatakiwa watumie akili hata kidogo tu. Vinginevyo mambo mengi yanaweza kufumuka yakabadili upepo wa hii kesi na sakata likachukua sura mpya.
 
kwahiyo Mungu ni wako pekeyako, right?🀣

Kenya walimuomba nini Mungu na akawajibu? eti apostle?πŸ’

kwahiyo hutaki tununue magari? kwani wew hutumii pesa?

au umejaa hasira tu kama Mpina baada ya kutemwa uwaziri 🀣
 
ukiona mtu anamvumilia muongo na kupoteza time kumskiza ujue nae muongo anataka tu kuskia na kuiba mbinu za uongo za muongo mwenzie πŸ’
Hapana, that is a combination of non sequitur logical fallacy and a false dichotomy logical fallacy.

Mtu anaweza kumvumilia muongo na kumsikiliza mpaka mwisho ili akamilishe ushahidi wote kwamba huyu ni uongo.

Usikariri mambo kwa hisia bila kutumia mantiki.
 
mnapeana moyo sio waungwana?

ila kuna mahali mnamake sense ujue πŸ’
 
mnapeana moyo sio waungwana?

ila kuna mahali mnamake sense ujue, politically speaking πŸ’
 
hiyo sasa inakua siyo mimi mwenye uvumilivu na ustahimilivu huo wa kitaaluma ni wale mapilato huko kotini πŸ’
 
kwahiyo Mungu ni wako pekeyako, right?🀣

Kenya walimuomba nini Mungu na akawajibu? eti apostle?πŸ’

kwahiyo hutaki tununue magari? kwani wew hutumii pesa?

au umejaa hasira tu kama Mpina baada ya kutemwa uwaziri 🀣
Inaonekana mwisho wenu umefika. Na hii ndio maana, ww unaandika thread za hovyo zinazowaumiza watu.Huku wakijua wizi mkubwa wa pesa za serikali.Na ukijua kuwa kuna vijana wengi wasomi na wanaelewa. Subir tu utaona ndugu, Tanzania sio kisiwa.
 
hiyo sasa inakua siyo mimi mwenye uvumilivu na ustahimilivu huo wa kitaaluma ni wale mapilato huko kotini πŸ’

You are right.

Wewe uwezo wako umeishia kujifikiria mwenyewe. Na kubiringita kwa hisia tu.Ujambe vipi, unye vipi. Mambo ya reflex action ambayo hata guluguja asiye na ubongo wala uti wa mgongo anaweza kufanya.

Tukija kwenye mifumo, mantiki, reason, huna uwezo wa kujenga hoja.
 
mihememko na ghadhabu si ndio hitimisho la hoja kwa waliofikia ukomo wa fikra mbadala,

mathalani,
mie nimetoa hoja ya msingi mezani, badala ya kujadili unahitimisha kwa kuniporomoshea matusi πŸ’

unadhani hiyo inachochewa na nini hasa ya kubiringita, kunya au kujamba vipi uloyaeleza hapo juu? πŸ’
 
Mimi hata nikipiga chafya wewe utaona ghadhabu.

Kwa sababu huwezi kunielewa.

Hoja hata ikiwekwa chini ya pua yako huwezi kuijua.

Kwa sababu akili yako fupi ukiwekewa hoja kujadili kidhahania unasema hayo mambo ya Pilato wewe hayakuhusu.

Mpaka sasa hivi naona kama najibizana na nyungunyungu.
 
Inaonekana mwisho wenu umefika. Na hii ndio maana, ww unaandika thread za hovyo zinazowaumiza watu.Huku wakijua wizi mkubwa wa pesa za serikali.Na ukijua kuwa kuna vijana wengi wasomi na wanaelewa. Subir tu utaona ndugu, Tanzania sio kisiwa.

kwamba una kitu utanionyesha gentleman 🀣🀣

mkuu Kwan bado unaishi nyumbani kwa wazazi, unanivunja mbavu 🀣🀣

halafu,
threads zangu zinaumizaje watu tena gentleman?πŸ’
 
na umekomaa kweli kweli kukimbizana na nyungunyungu 🀣

aise nyie jamaa bana dah 🀣
 
Ahaaaa
 
na umekomaa kweli kweli kukimbizana na nyungunyungu 🀣

aise nyie jamaa bana dah 🀣
Nakupeleka ignore list, kuanzia hapa sitaona post yako yoyote.

Sipendi kupoteza muda wangu na nyungunyungu.
 
Nakupeleka ignore list, kuanzia hapa sitaona post yako yoyote.

Sipendi kupoteza muda wangu na nyungunyungu.
na mihemko yako ikusaidie sana, aimen RiP 🀣
 
mnapeana moyo sio waungwana?

ila kuna mahali mnamake sense ujue πŸ’

Tunapeana moyo na nani na kivipi?
Umefuarilia mjadala wa mapendekezo ya kubadili Sheria inayoongoza wakala wa uhifadhi wa chakula wa taifa? Umeona ule mlumbano wa wabunge kuhusu bei ya sukari Kwa nchi jirani?

Sijaelewa unaposema tunapeana moyo unamaanisha kitu gani hasa. Ungejaribu kuelezea kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…