Je, hii ni hotuba ya mwisho ya Mpina?

Je, hii ni hotuba ya mwisho ya Mpina?

Dogo unachekesha sana

unashgangilia eti shetani kamshinda Mungu ni swala la muda tu

Au ni swala la kujilisha upepo

Dogo sisi tuliijua kasha hii kabla ya mpina
mlijua nini gentleman?

ilisaidi nini sasa kwa kujua kwenu kabla...

Mungu ni wa wote, wamwaminio, wamtegemeao na kumtumainia mpendwa wala huna haja kubabaika eneo hili :pedroP:
 
sheria ipi hiyo gentleman:pedroP:
Tlaa

Kwa kiasi fulani Waziri Bashe alidanganya sana.

Waziri Bashe alisema hakuna hata kilo moja iliyoingia mwaka 2022/2023 hilo halikuwa kweli mkuu. Kwani wafanyabiashara wenye viwanda vya sukari waliingiza Tani 6801.

Na mheshimiwa mpina akamuomba Spika apitie CAG Ukaguzi wa mashirika ya umma.

Hiyo ni Ripoti ya CAG. Mimi mpina alipotoa ule waraka niliupitia moja baada yq nyingine kujiridhisha, kwa kiasi chake alisema vingi vya ukweli na vdeo zipo zikionyesha uongo aliosema waziri bashe. Ila kama wanafikiri mpina kakosea lakini bashe yupo sahihi kudanganya ni sawa, japo Watanzania tulishaona ukweli ni upi hata kama mpina anatumika.

Mkuu Tlaa,
Hata hivyo mheshimiwa bashe alisema nchi inq gap sugar ya Tani 60000 si kweli kwani hata jedwali hapo linaonekana mkuu, zilikuwa zikihitajika tani 30000 tu hivyo Mheshimiwa bashe alidanganya bunge na watanzania wote.

Lakini pia nilipitia barua ya bodi ya sukari Tanzania iliyoandikwa na mkurungezi wa bodi prof. Bengesi kwenda kwa katibu mtendaji ikionyesha uhitaji unaohitajika na aliousema bashe ni tofauti hivyo ni uongo.

Sitaki kusema sana lakini ukipata muda pitia sheria za bodi ya sukari, pitia barua utaona kwamba mpina anachoongea ni sahihi. Lakini ni sababu masilahi ya wakubwa lazima wafanye walichofanya.
 
Attachments

  • F12B5C91-51B6-4CC9-84D3-3B2F777840BA.jpeg
    F12B5C91-51B6-4CC9-84D3-3B2F777840BA.jpeg
    172.8 KB · Views: 1
Ni dhahiri kuna hali ya kukata tamaa kabisa kwa muungwana huyu kuendelea kua mbunge, kuna kitu amehisi mpaka kujikuta na kujiita amekua mbuzi wa kafara.

Hasira na mambo mengi aliyoyahifadhi moyoni kwa muda mrefu, kwa unyonge na masikitiko makubwa anafunguka, akiwa na sura ya hofu, na lugha ya mwili iliyopoteza matuamaini kabisa. Kutoa ya moyoni atapata ahueni na nafuu kubwa na kuepukana na msongo wa mawazo uliomzonga kwa muda mrefu, hapo nampongeza sana kijitibu.

Anakiri mwenyewe kwa kinywa chake kukosea, lakini hapo hapo anadaia hana makosa, ameonewa na anakwebda mahakamani :pedroP:
hii sio dalili nzuri mentally, yafaa kiongozi huyo asaidiwe mapema mambo yasiharibike zaidi.

Muungwana anajaribu kuelekeza bunge na spika jinsi ya kufanya kazi na majukumu yao, anasahau taasisi ile nyeti inawajibika na kutekeleza kazi na majukumu yake kwa mujibu wa sheria na kanuni za bunge, lakini pia kulingana na inavyoonekana inavyofaa. Nadhani kuna changamoto ya kuzifahamu maana na madhumuni ya kanuni za bunge.

Kukiri kukosea na kisha kwenda kwenye vyombo vya kutoa haki, ni jambo zuri sana, na kurahisishia vyombo hivyo kufanya kazi kwa urahisi sana na kuhitimisha na bila kupoteza muda.

Aidha ikiwa ndio hotuba na mkutano wako wa mwisho ukiwa kama mbunge anae tumikia adhabu ya bunge, nakutakia siasa njema sana kwenye plaforms nyingine humu nchini, ntakumisi sana kwenye korido za bunge tulikokua tukipishana sana mara kwa mara, naamini tutakutana mahali pengine na mawazo mengine:pulpTRAVOLTA:

Soma===>>> Mpina: Kifungu kilichotumiwa na Spika Tulia kunituhumu na kunihukumu hakipo!
Hayakuhusu!! Jamii forum inazidi kudidimizwa na CHAWA. CHAWA wamemwagwa Kila Kona kutetea wezi
 
mlijua nini gentleman?

ilisaidi nini sasa kwa kujua kwenu kabla...

Mungu ni wa wote, wamwaminio, wamtegemeao na kumtumainia mpendwa wala huna haja kubabaika eneo hili :pedroP:
kwa kwwli mungu ni wawote na katusaidia sana kuona tulivyo na Spika mwrnye uchi wa akili kama tulivyokuwa tunajiaminisha🤣🤣🤣 hata yeye ukimuuliza kwann bashe kafukuzwa sijui atajibu nini!!
 
Nmesoma Kichwa habari tu.

Mtoa mada If you don't know what to do ,speak less !!.....itakusaidia kuficha Ujinga wako masikioni Kwa werevu.

Nadhan Kuna haja ya JF , iwe inapina ubora wa akili za watu kupitia maandiko Yao.

Andiko kama hili, linaonyesha mtoa mada ni mjinga wa kiwango Cha juu .
Yani Kuna wapumbavu wamo humu jf, wanastahili kuhasiwa kabisa...

. Huwa nashangaa sana mtu anatetea wananchi lakini baadhi ya ng'ombe wanamshambulia kwa maneno ya hovyo.
 
kwamba hata unachotetea hukijui?😂😂😂😂 kuna vitu kuvitetea inahitaji ujasiri tu 😂😂😂 huyu mpina ni team magu kavua nguo bunge lote
si kama mpina tu alivyojaribu kutete na kuufanya uongo kua ukweli tena mbele ya umma wa waTanzania kupitia bunge na ikamtokea puani? :pedroP:

ni kazi ngumu sana hiyo aise
 
si kama mpina tu alivyojaribu kutete na kuufanya uongo kua ukweli tena mbele ya umma wa waTanzania kupitia bunge na ikamtokea puani? :pedroP:

ni kazi ngumu sana hiyo aise
uko juu nimeona kuna memba kakutumia mpaka maripoti ya ukaguzi🤣🤣🤣🤣 kukuonyesha bashe alivyo muongo lakini sababu tushapokea pesa hatuna namna zaidi ya kutetea mpaka mwisho😂😂🤣🤣
 
kwa kwwli mungu ni wawote na katusaidia sana kuona tulivyo na Spika mwrnye uchi wa akili kama tulivyokuwa tunajiaminisha🤣🤣🤣 hata yeye ukimuuliza kwann bashe kafukuzwa sijui atajibu nini!!
na ametuonyesha mtu asie mkweli na ameumbuka na bado ataendelea kujiumbua mwenyewe na uongo na kiburi chake:pedroP:
 
uko juu nimeona kuna memba kakutumia mpaka maripoti ya ukaguzi🤣🤣🤣🤣 kukuonyesha bashe alivyo muongo lakini sababu tushapokea pesa hatuna namna zaidi ya kutetea mpaka mwisho😂😂🤣🤣
hajakutumia yale maripoti ya kutaifisha ng'ombe za watu na kutokomea nazo, na zile kuchoma vifaranga vya wafanyabiashara waliogoma kumpa rushwa na zile nyavu za wavuja jasho?:pedroP:

mwambie jamaa akutumie pia nazo usome:pedroP:
 
mbona kama umepaniki😂😂🤣🤣🤣🤣 kwahyo sasa unakubali kwamba mpina ni yuda iskarioti😂😂😂😂 haya tuambie na hiyo ripoti ya CAG nayo inamsingizia bashe?😂😂🤣🤣🤣 kama zipo hizo taarfa za mpina zilete hapa na yeye tumkaange
 
Yani Kuna wapumbavu wamo humu jf, wanastahili kuhasiwa kabisa...

. Huwa nashangaa sana mtu anatetea wananchi lakini baadhi ya ng'ombe wanamshambulia kwa maneno ya hovyo.
kama ni muongo hastahili kuachwa,
ashambuliwe vizuri sana kwa nguvu zote ili ashike adabu awe mkweli:pedroP:
 
mbona kama umepaniki😂😂🤣🤣🤣🤣 kwahyo sasa unakubali kwamba mpina ni yuda iskarioti😂😂😂😂 haya tuambie na hiyo ripoti ya CAG nayo inamsingizia bashe?😂😂🤣🤣🤣 kama zipo hizo taarfa za mpina zilete hapa na yeye tumkaange
tumalizane kwanza na uongo huu anaoendelea nao kwa kiburi :pedroP:
 
Hayakuhusu!! Jamii forum inazidi kudidimizwa na CHAWA. CHAWA wamemwagwa Kila Kona kutetea wezi
relax gentleman,
tuliza ball mihemko sio deal,

waongo na wazushi lazima wadhibitiwe vilivyo, maana hakuna namna nyingine sasa :pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom