Je, hii ni hotuba ya mwisho ya Mpina?

Je, hii ni hotuba ya mwisho ya Mpina?

Unaweza kuwa na hoja lakini unachanganya mambo.

Mbunge kukiri kukosea ni jambo moja, nayeye haendi mahakamani kupeleka malalamiko yake kuhusu adhabu ya kufungiwa vikao 15.

Hoja yake ya msingi na kinachompeleka mahakamani ni jinsi utoaji wa vibali vya sukari ulivyoendeshwa. Hapo inamaana uchunguzi ufanyike wa mwenendo mzima wa zoezi lilivyoendeshwa.

Hiyo ya kukiri kukosea ndio anatumikia adhabu kuwa nje ya bunge Kwa huo muda.
umenyoosha gentleman:ClapHD::KasugaYeah:
 
Ni dhahiri kuna hali ya kukata tamaa kabisa kwa muungwana huyu kuendelea kua mbunge, kuna kitu amehisi mpaka kujikuta na kujiita amekua mbuzi wa kafara.

Hasira na mambo mengi aliyoyahifadhi moyoni kwa muda mrefu, kwa unyonge na masikitiko makubwa anafunguka, akiwa na sura ya hofu, na lugha ya mwili iliyopoteza matuamaini kabisa. Kutoa ya moyoni atapata ahueni na nafuu kubwa na kuepukana na msongo wa mawazo uliomzonga kwa muda mrefu, hapo nampongeza sana kijitibu.

Anakiri mwenyewe kwa kinywa chake kukosea, lakini hapo hapo anadaia hana makosa, ameonewa na anakwebda mahakamani :pedroP:
hii sio dalili nzuri mentally, yafaa kiongozi huyo asaidiwe mapema mambo yasiharibike zaidi.

Muungwana anajaribu kuelekeza bunge na spika jinsi ya kufanya kazi na majukumu yao, anasahau taasisi ile nyeti inawajibika na kutekeleza kazi na majukumu yake kwa mujibu wa sheria na kanuni za bunge, lakini pia kulingana na inavyoonekana inavyofaa. Nadhani kuna changamoto ya kuzifahamu maana na madhumuni ya kanuni za bunge.

Kukiri kukosea na kisha kwenda kwenye vyombo vya kutoa haki, ni jambo zuri sana, na kurahisishia vyombo hivyo kufanya kazi kwa urahisi sana na kuhitimisha na bila kupoteza muda.

Aidha ikiwa ndio hotuba na mkutano wako wa mwisho ukiwa kama mbunge anae tumikia adhabu ya bunge, nakutakia siasa njema sana kwenye plaforms nyingine humu nchini, ntakumisi sana kwenye korido za bunge tulikokua tukipishana sana mara kwa mara, naamini tutakutana mahali pengine na mawazo mengine:pulpTRAVOLTA:

Soma===>>> Mpina: Kifungu kilichotumiwa na Spika Tulia kunituhumu na kunihukumu hakipo!
Mkuu mwache apambanie haki yake dhidi ya wahuni huko ndio itajulikana!
 
Ni ajabu sana kuona mtanzania anayejipambanua kuwa na uelewa mkubwa kuanza kufanya personal attacks badala ya kushambulia hoja.
 
Ni dhahiri kuna hali ya kukata tamaa kabisa kwa muungwana huyu kuendelea kua mbunge, kuna kitu amehisi mpaka kujikuta na kujiita amekua mbuzi wa kafara.

Hasira na mambo mengi aliyoyahifadhi moyoni kwa muda mrefu, kwa unyonge na masikitiko makubwa anafunguka, akiwa na sura ya hofu, na lugha ya mwili iliyopoteza matuamaini kabisa. Kutoa ya moyoni atapata ahueni na nafuu kubwa na kuepukana na msongo wa mawazo uliomzonga kwa muda mrefu, hapo nampongeza sana kijitibu.

Anakiri mwenyewe kwa kinywa chake kukosea, lakini hapo hapo anadaia hana makosa, ameonewa na anakwebda mahakamani :pedroP:
hii sio dalili nzuri mentally, yafaa kiongozi huyo asaidiwe mapema mambo yasiharibike zaidi.

Muungwana anajaribu kuelekeza bunge na spika jinsi ya kufanya kazi na majukumu yao, anasahau taasisi ile nyeti inawajibika na kutekeleza kazi na majukumu yake kwa mujibu wa sheria na kanuni za bunge, lakini pia kulingana na inavyoonekana inavyofaa. Nadhani kuna changamoto ya kuzifahamu maana na madhumuni ya kanuni za bunge.

Kukiri kukosea na kisha kwenda kwenye vyombo vya kutoa haki, ni jambo zuri sana, na kurahisishia vyombo hivyo kufanya kazi kwa urahisi sana na kuhitimisha na bila kupoteza muda.

Aidha ikiwa ndio hotuba na mkutano wako wa mwisho ukiwa kama mbunge anae tumikia adhabu ya bunge, nakutakia siasa njema sana kwenye plaforms nyingine humu nchini, ntakumisi sana kwenye korido za bunge tulikokua tukipishana sana mara kwa mara, naamini tutakutana mahali pengine na mawazo mengine:pulpTRAVOLTA:

Soma===>>> Mpina: Kifungu kilichotumiwa na Spika Tulia kunituhumu na kunihukumu hakipo!
Bila shaka umeamua kupoteza mda, mwenye kumwelewa mpina ni yule alie na akili tu

Kwa ulichokiandika unajiondoa moja kwa moja kwa watu wenye akili
 
Leteni hoja zenu kujibu zile za Mpina!
 
Hivi ugombea binafsi uliishia wapi
 
Bunge ili ambalo limeshindwa kuchukua hatua mafisadi waliotajwa kwenye ripoti ya CAG?! Tanzania hatuna bunge tuna vikao vya porojo tu.
 
mbona hatua zunachukuliwa kisekta na wahusika wanachukuliwa hatua stahiki za kisheria ipasavyo:pulpTRAVOLTA:
 
Leteni hoja zenu kujibu zile za Mpina!
mpina hana hoja,

ana malalamiko, kinyongo na chuki binafsi za muda mrefu, dhidi ya anao wazungimzia kwa majina kwa muda mreeefu sana, na adhabu alopewa anaweweseka zaidi :pedroP:
 
Ni dhahiri kuna hali ya kukata tamaa kabisa kwa muungwana huyu kuendelea kua mbunge, kuna kitu amehisi mpaka kujikuta na kujiita amekua mbuzi wa kafara.

Hasira na mambo mengi aliyoyahifadhi moyoni kwa muda mrefu, kwa unyonge na masikitiko makubwa anafunguka, akiwa na sura ya hofu, na lugha ya mwili iliyopoteza matuamaini kabisa. Kutoa ya moyoni atapata ahueni na nafuu kubwa na kuepukana na msongo wa mawazo uliomzonga kwa muda mrefu, hapo nampongeza sana kijitibu.

Anakiri mwenyewe kwa kinywa chake kukosea, lakini hapo hapo anadaia hana makosa, ameonewa na anakwebda mahakamani :pedroP:
hii sio dalili nzuri mentally, yafaa kiongozi huyo asaidiwe mapema mambo yasiharibike zaidi.

Muungwana anajaribu kuelekeza bunge na spika jinsi ya kufanya kazi na majukumu yao, anasahau taasisi ile nyeti inawajibika na kutekeleza kazi na majukumu yake kwa mujibu wa sheria na kanuni za bunge, lakini pia kulingana na inavyoonekana inavyofaa. Nadhani kuna changamoto ya kuzifahamu maana na madhumuni ya kanuni za bunge.

Kukiri kukosea na kisha kwenda kwenye vyombo vya kutoa haki, ni jambo zuri sana, na kurahisishia vyombo hivyo kufanya kazi kwa urahisi sana na kuhitimisha na bila kupoteza muda.

Aidha ikiwa ndio hotuba na mkutano wako wa mwisho ukiwa kama mbunge anae tumikia adhabu ya bunge, nakutakia siasa njema sana kwenye plaforms nyingine humu nchini, ntakumisi sana kwenye korido za bunge tulikokua tukipishana sana mara kwa mara, naamini tutakutana mahali pengine na mawazo mengine:pulpTRAVOLTA:

Soma===>>> Mpina: Kifungu kilichotumiwa na Spika Tulia kunituhumu na kunihukumu hakipo!
Wenye dharau na kejeli walikuwepo na wametoweka. Hata wewe na kejeli,ujinga na dharau yako utatoweka tu. Heri mbunge huyu anayesimama kuwapigania Watanzania dhidi ya matapeli yanayolindwa na chura wa katavi. Hakika wewe ni mjinga na ni mjinga Tena. Mwenyezi mungu akutie kiberiti cha adabu siku ya kifo chako. Mpina usichoke baba,wasemee wasiokuwa na sauti wala kipaza sauti .
 
Chawa whed wewe
 
Kuna watu humu ukiangalia Profile zao unaeza hisi wana akili kumbe ni wapumbavu tu kama kina Nyamwi255 na MZURI SANA
Tena kisiasa tunawaita Malaya, ni msiba.
 
Wenye dharau na kejeli walikuwepo na wametoweka. Hata wewe na kejeli,ujinga na dharau yako utatoweka tu. Heri mbunge huyu anayesimama kuwapigania Watanzania dhidi ya matapeli yanayolindwa na chura wa katavi. Hakika wewe ni mjinga na ni mjinga Tena. Mwenyezi mungu akutie kiberiti cha adabu siku ya kifo chako. Mpina usichoke baba,wasemee wasiokuwa na sauti wala kipaza sauti .
mihemko na ghadhabu zako zimepoa sana gebtleman :pedroP:

hata hivyo nawaombea nyote hasa wewe na muungwana mpina, Baraka na Neema za Mungu awaepushe kung'ang'ana na mambo yasiyo ya kweli, mihemko, ghadhabu, chuki binafs, kiburi na jeuri ambavyo vyote si muhimu wala sifa njema ya uongozi kwa jamii...

Mungua awajalie ustahimilivu na subra hata katika mazingira na hali zilizo kinyume na mawazo, maoni na mitazamo yenu. Sauti Ya wengi Ni Sauti ya Mungu. Bunge kwa kauli moja limethibitisha mpina si mkweli...

hekima na busara, ziwaelekeze vyema kuchagua muda, wakati, sehemu na maneno sahihi ya kusema..
Mbarikiwe Sana:pedroP:
 
Back
Top Bottom