johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hakika 😄😄na hatimaye petro ndiye aliyeambiwa umeongoka waimarishe ndugu zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika 😄😄na hatimaye petro ndiye aliyeambiwa umeongoka waimarishe ndugu zako
mlijua nini gentleman?Dogo unachekesha sana
unashgangilia eti shetani kamshinda Mungu ni swala la muda tu
Au ni swala la kujilisha upepo
Dogo sisi tuliijua kasha hii kabla ya mpina

muda wowote spika ataagiza ndugu wajumbe tuonane ukumbi wa pius msekwa kuna dharurakama mpina anavyojitutumu kukomaa na uongo kua kweli, dah njaa kitumbaya sana na mashabiki zake mnaenjoy tu![]()
Tlaasheria ipi hiyo gentleman![]()
Hayakuhusu!! Jamii forum inazidi kudidimizwa na CHAWA. CHAWA wamemwagwa Kila Kona kutetea weziNi dhahiri kuna hali ya kukata tamaa kabisa kwa muungwana huyu kuendelea kua mbunge, kuna kitu amehisi mpaka kujikuta na kujiita amekua mbuzi wa kafara.
Hasira na mambo mengi aliyoyahifadhi moyoni kwa muda mrefu, kwa unyonge na masikitiko makubwa anafunguka, akiwa na sura ya hofu, na lugha ya mwili iliyopoteza matuamaini kabisa. Kutoa ya moyoni atapata ahueni na nafuu kubwa na kuepukana na msongo wa mawazo uliomzonga kwa muda mrefu, hapo nampongeza sana kijitibu.
Anakiri mwenyewe kwa kinywa chake kukosea, lakini hapo hapo anadaia hana makosa, ameonewa na anakwebda mahakamani
hii sio dalili nzuri mentally, yafaa kiongozi huyo asaidiwe mapema mambo yasiharibike zaidi.
Muungwana anajaribu kuelekeza bunge na spika jinsi ya kufanya kazi na majukumu yao, anasahau taasisi ile nyeti inawajibika na kutekeleza kazi na majukumu yake kwa mujibu wa sheria na kanuni za bunge, lakini pia kulingana na inavyoonekana inavyofaa. Nadhani kuna changamoto ya kuzifahamu maana na madhumuni ya kanuni za bunge.
Kukiri kukosea na kisha kwenda kwenye vyombo vya kutoa haki, ni jambo zuri sana, na kurahisishia vyombo hivyo kufanya kazi kwa urahisi sana na kuhitimisha na bila kupoteza muda.
Aidha ikiwa ndio hotuba na mkutano wako wa mwisho ukiwa kama mbunge anae tumikia adhabu ya bunge, nakutakia siasa njema sana kwenye plaforms nyingine humu nchini, ntakumisi sana kwenye korido za bunge tulikokua tukipishana sana mara kwa mara, naamini tutakutana mahali pengine na mawazo mengine
Soma===>>> Mpina: Kifungu kilichotumiwa na Spika Tulia kunituhumu na kunihukumu hakipo!
kwamba hata unachotetea hukijui?😂😂😂😂 kuna vitu kuvitetea inahitaji ujasiri tu 😂😂😂 huyu mpina ni team magu kavua nguo bunge lotesheria ipi hiyo gentleman![]()
kwa kwwli mungu ni wawote na katusaidia sana kuona tulivyo na Spika mwrnye uchi wa akili kama tulivyokuwa tunajiaminisha🤣🤣🤣 hata yeye ukimuuliza kwann bashe kafukuzwa sijui atajibu nini!!mlijua nini gentleman?
ilisaidi nini sasa kwa kujua kwenu kabla...
Mungu ni wa wote, wamwaminio, wamtegemeao na kumtumainia mpendwa wala huna haja kubabaika eneo hili![]()
Yani Kuna wapumbavu wamo humu jf, wanastahili kuhasiwa kabisa...Nmesoma Kichwa habari tu.
Mtoa mada If you don't know what to do ,speak less !!.....itakusaidia kuficha Ujinga wako masikioni Kwa werevu.
Nadhan Kuna haja ya JF , iwe inapina ubora wa akili za watu kupitia maandiko Yao.
Andiko kama hili, linaonyesha mtoa mada ni mjinga wa kiwango Cha juu .
si kama mpina tu alivyojaribu kutete na kuufanya uongo kua ukweli tena mbele ya umma wa waTanzania kupitia bunge na ikamtokea puani?kwamba hata unachotetea hukijui?😂😂😂😂 kuna vitu kuvitetea inahitaji ujasiri tu 😂😂😂 huyu mpina ni team magu kavua nguo bunge lote
uko juu nimeona kuna memba kakutumia mpaka maripoti ya ukaguzi🤣🤣🤣🤣 kukuonyesha bashe alivyo muongo lakini sababu tushapokea pesa hatuna namna zaidi ya kutetea mpaka mwisho😂😂🤣🤣si kama mpina tu alivyojaribu kutete na kuufanya uongo kua ukweli tena mbele ya umma wa waTanzania kupitia bunge na ikamtokea puani?
ni kazi ngumu sana hiyo aise
na ametuonyesha mtu asie mkweli na ameumbuka na bado ataendelea kujiumbua mwenyewe na uongo na kiburi chakekwa kwwli mungu ni wawote na katusaidia sana kuona tulivyo na Spika mwrnye uchi wa akili kama tulivyokuwa tunajiaminisha🤣🤣🤣 hata yeye ukimuuliza kwann bashe kafukuzwa sijui atajibu nini!!

Unamuaibisha uliemuweka kwenye profile picture yako.na ametuonyesha mtu asie mkweli na ameumbuka na bado ataendelea kujiumbua mwenyewe na uongo na kiburi chake![]()
hajakutumia yale maripoti ya kutaifisha ng'ombe za watu na kutokomea nazo, na zile kuchoma vifaranga vya wafanyabiashara waliogoma kumpa rushwa na zile nyavu za wavuja jasho?uko juu nimeona kuna memba kakutumia mpaka maripoti ya ukaguzi🤣🤣🤣🤣 kukuonyesha bashe alivyo muongo lakini sababu tushapokea pesa hatuna namna zaidi ya kutetea mpaka mwisho😂😂🤣🤣


mbona kama umepaniki😂😂🤣🤣🤣🤣 kwahyo sasa unakubali kwamba mpina ni yuda iskarioti😂😂😂😂 haya tuambie na hiyo ripoti ya CAG nayo inamsingizia bashe?😂😂🤣🤣🤣 kama zipo hizo taarfa za mpina zilete hapa na yeye tumkaangehajakutumia yale maripoti ya kutaifisha ng'ombe za watu na kutokomea nazo, na zile kuchoma vifaranga vya wafanyabiashara waliogoma kumpa rushwa na zile nyavu za wavuja jasho?
mwambie jamaa akutumie pia nazo usome![]()
kama ni muongo hastahili kuachwa,Yani Kuna wapumbavu wamo humu jf, wanastahili kuhasiwa kabisa...
. Huwa nashangaa sana mtu anatetea wananchi lakini baadhi ya ng'ombe wanamshambulia kwa maneno ya hovyo.

tumalizane kwanza na uongo huu anaoendelea nao kwa kiburimbona kama umepaniki😂😂🤣🤣🤣🤣 kwahyo sasa unakubali kwamba mpina ni yuda iskarioti😂😂😂😂 haya tuambie na hiyo ripoti ya CAG nayo inamsingizia bashe?😂😂🤣🤣🤣 kama zipo hizo taarfa za mpina zilete hapa na yeye tumkaange
