SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,032
Wakuu niko huku a town lakini kuna habari zinaendelea kuenea kuwa utapoenda dukani kununua vocha ya buku itakulazimu utoe buku na Mia au vinginevyo ununue kupitia huduma za simu au kama ni vocha ya tsh 2000 itabidi ulipie 2200,imekuwa wiki nzima nikisikia habari hii na kuna jamaa amenidhibitishia jana amenunua vocha kwa bei la ongezeko.Ninaomba wenye taarifa rasmi mnijuze kama swala hili ni kweli au uzushi
Kwahiyo kumbe imepanda mudaNi muda kidogo tokea zipande, mimi hata sishangai , nitashangaa kuona kitu ambacho hakijapanda bei .
Tunaendelea kuishukuru na kupongeza serikali ya awamu ya sita, wanajitahidi sana.
Sasa mitandao ya simu iko kimya haizungumzi lolote kuhusiana na mabadiliko hayaKwa Sasa nipo hapa vingunguti kwa pelapela dsm kila duka nalo ulizia vocha naambiwa tsh 1200 kwa vocha ya buku na 600 kwa vocha ya jero
Hakika mama anaupiga mwingi sana
Kwa akili kama hizi watauzia vocha ya 500 sh 1000/ nchi imejaaa mazezetaNi kweli mkuu
Kwa Sasa nipo hapa vingunguti kwa pelapela dsm kila duka nalo ulizia vocha naambiwa tsh 1200 kwa vocha ya buku na 600 kwa vocha ya jero
Hakika mama anaupiga mwingi sana
Raia wenyewe maboya tupu wahangaike nini? na wanapiga kimya mzoee polepole nchi imejaaa mazezeta tupuSasa mitandao ya simu iko kimya haizungumzi lolote kuhusiana na mabadiliko haya
Huko watawapandishie tena, Shida ni cha imejaaa Raia waogaAchana na kununua vocha,
Nunua/weka pesa kwa tigo pesa, m pesa airtel money,halopesa na mitandao mingine halafu unga kifurushi au nunua salio
Labda hapo uliponunua ana stock ya zamani.Nimetoka nunua muda huu bei haijaongezeka
Inawezekana kweli jamaa bado ana mzigo wa zamani,inasikitisha usikii kiongozi yoyote au mamlaka yoyote ikitoa tamko loloteLabda hapo uliponunua ana stock ya zamani.
Nimetoka kununua sasa hivi?nimeuziwa bei ya kawaida ila nimepewa angalizo,kesho bei inapanda,maduka mengine ya jirani yameshapandisha tayariInawezekana kweli jamaa bado ana mzigo wa zamani,inasikitisha usikii kiongozi yoyote au mamlaka yoyote ikitoa tamko lolote
Problem solvedAchana na kununua vocha,
Nunua/weka pesa kwa tigo pesa, m pesa airtel money,halopesa na mitandao mingine halafu unga kifurushi au nunua salio