Je hii ni kweli: Baada ya kutoka Urusi kaenda Oman Ujombani?

G

guest-1787677467

Guest
Taarifa za kufuatilia mienendo ya ndege imeonesha Mheshimiwa Rais kaende Oman baada ya kutoka Russia.

Je kwanini kaenda huko bila kutoa taarifa? Je ndege ikipata hitilafu na ikatokea ajali huko, watatuambia nini sisi tuliomchagua?
 
Maeneo hatarishi kweli hayo, alhamdulilah, mara tusikie bahati mbaya, rocket kang'aa, mtu challi, aisee.
 
Taarifa za kufuatilia mienendo ya ndege imeonesha Mheshimiwa Rais kaende Oman baada ya kutoka Russia.

Je kwanini kaenda huko bila kutoa taarifa? Je ndege ikipata hitilafu na ikatokea ajali huko, watatuambia nini sisi tuliomchagua?
Labda alifikiri anafanya siri bila kujua dunia ya sasa hakuna siri!
 
Ni ziara ya kiserikali au ni matanuzi tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…