Je, hii ni kweli kwamba akili ya Lissu ingepaswa kutumika kwenye mkataba ya kimataifa?

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Wadau mbalimbali huko mtandaoni wanasema akili ya Lissu ingepaswa kutumika kwenye mkataba ya kimataifa, ingetumika kwenye mambo ya ya diplomasia ingeleta tija kwa Taifa kuliko kuiweka ndani kwa sababu zozote zile.

Wamekwenda mbali na kusema kitendo cha kuiweka ndani akili kama ile ni utahira mkubwa ukizingatia Tanzania imepata F kwenye kesi nyingi zitokanazo na ukiukwaji wa mikataba mbalimbali.
 
Hakika lissu yupo underutilized.
 
Unamaanisha mikataba ya wahalifu na wahaini ama?
 
Angewakimbia mapema sana ukizingatia mfumo nao unakua na matarajio yake/yao kupitia mikataba.
Lissu angetaka kutumia rula na wenye mifumo hawataki kutumia rula hapo ndio ingekua chanzo cha matatizo
 
Back
Top Bottom