Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Hakika lissu yupo underutilized.Wadau mbalimbali huko mtandaoni wanasema akili ya Lissu ingepaswa kutumika kwenye mkataba ya kimataifa, ingetumika kwenye mambo ya ya diplomasia ingeleta tija kwa Taifa kuliko kuiweka ndani kwa sababu zozote zile.
Wamekwenda mbali na kusema kitendo cha kuiweka ndani akili kama ile ni utahira mkubwa ukizingatia Tanzania imepata F kwenye kesi nyingi zitokanazo na ukiukwaji wa mikataba mbalimbali.
☺️🤪😝..Umenena Ila Sasa unaemshauri alikuwa anawaza kuwa mhudumu wa ndege na sio rais
Lisu ni machine ya kusaga kokotoHakika lissu yupo underutilized.
AhaaLisu ni machine ya kusaga kokoto
Unamaanisha mikataba ya wahalifu na wahaini ama?Wadau mbalimbali huko mtandaoni wanasema akili ya Lissu ingepaswa kutumika kwenye mkataba ya kimataifa, ingetumika kwenye mambo ya ya diplomasia ingeleta tija kwa Taifa kuliko kuiweka ndani kwa sababu zozote zile.
Wamekwenda mbali na kusema kitendo cha kuiweka ndani akili kama ile ni utahira mkubwa ukizingatia Tanzania imepata F kwenye kesi nyingi zitokanazo na ukiukwaji wa mikataba mbalimbali.
Wapo wengi wa aina yake kwenye mataasisi ya Serikali ila wamepigwa nyundo hadi wamestaafu bila kusikika.Hakika lissu yupo underutilized.