Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 826
- 1,622
- Thread starter
- #21
Point 🙏Wazo langu ni Moja mchane dogo ....ww mtu mzimah asikupangie
Pia mbananishe na kwao akija tenah hapo kwako(Yaani unapiga simu kwao na yeye akiwepo) .....watu wanasema usijipe umuhimu kwasababu ushaongea na kwao lakini vuta picha tafsiri halisi ya maisha umeaminika kumsaidia ndugu yetu lakini unamwacha tu aharibike kizembe