Je, hii ramani imekamilika?

Haija kamilika mkuu kama eneo inapokwenda kujengwa ni surveyed area
 
Masterbedroom inahitaji dirisha la pili
 
Kujenga mpka uhamie andaa kati ya Milioni 34 had 68 kwa kutegemea eneo ulipo,bei za material bei za fundi na ubora wa kazi unaotaka.Hii ni mpaka kukamilika
 
Je hauna mchoro kwa hiyo idea yako?
 
Any drawing?
 
Ramani nzuri boss.
 
Unajenga GHOROFA au ya kawaida?
 
Hiyo passage ya kuingilia master ningeipunguza na kuhamisha huo mlango ili nipate sehem ya dressing room
 
aisee imetulia hii. mzeya sittng room ya 6 x 5 metres sio mchezo, hapo sii unaweza ruka sarakasi kabisa mwanawane.
marekebisho nayo ona mie yapo kwenye master bedroom. chumba kina dirish moja tuu wakati ukiangalia hivi vingine vina madirisha mawili. ikiwezekana pia hiyo master bathroom ilete huku kushoto ili kuwe na privacy kidogo kwa baba mwenye nyumba. yaani kuwe na na bathroom kati ya master na hicho chumba kingine.

mzeya hii ndio inakula mamillion mangapi?
 
Ukitaka kufanya kitu chako ukija kuomba ushauri humu utakata tamaa.
kwa nini ukate tamaa? hapa mbona tunapata different views. wewe unachukuwa kile unaona kinafaa.
kwanza kwa kuweka hapa ata wengine tunanufaika.
kama mie hii nimeipenda nita adjust kidogo naanza ujunzi mwezi wa tisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…