Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Ni nzuriAsante kwa ramani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nzuriAsante kwa ramani
Masterbedroom inahitaji dirisha la piliHabari nyingi wakuu..
Katika ujenzi ambao nataka nianze Inshaallah baada ya kumaliza mambo mengine sasa nimechorowe ramani hii hapa kutokana na nyumba yangu nataka iwe hivi.
Hivyo basi wakuu humu kuna magwiji wa haya mambo ya ramani pamoja na ujenzi wake.Naomba kufahamu kutoka kwenu je hii ramani ipo sawa ama la.
Vipi hadi kuisha kwake gharama zake Shilingi ngapi?
Nawasilisha.
Muonekano wa nje ukoje?
Je hauna mchoro kwa hiyo idea yako?Ramani nzuri lakini mimi ningekuwa mchoraji ningefanya mabadiliko matatu.
1. Front porch (baraza la mbele) ningeiweka hilo eneo kati ya dining na living room, hii ingesaidia kusave nafasi kwa mahali ambapo hilo baraza lipo sasa kuondoka
2. Ningefanya vertical flip ya masterroom, yaani kulipo mashariki kuwe magharibi na kinyume chake, nia ya kufanya hivi ni ili nifanye sebule iwe wazi zaidi kwa kuangusha huo ukuta unaotenga sebule na korodo ili uwe wazi (open floor concept).
3. Ningetoa huo mlango wa sasa kutoka sebule kwenda vyumbani.
Any drawing?1. Hakuna ulazima wa kuweka mlango kati ya dining na kitchen
2. Mlango wa Public toilet ingekua mwanzoni hapo ingekua poa zaidi.
3. Very long corridor ni wastage of space.
4. Ingekuwepo opening kati ya corridor na sitting room ingependeza
5. Mlango wa kitchen na lounge ifungukie nje.
................ Etc
Currently sina mkuuAny drawing?
Ramani nzuri boss.Habari nyingi wakuu..
Katika ujenzi ambao nataka nianze Inshaallah baada ya kumaliza mambo mengine sasa nimechorowe ramani hii hapa kutokana na nyumba yangu nataka iwe hivi.
Hivyo basi wakuu humu kuna magwiji wa haya mambo ya ramani pamoja na ujenzi wake.Naomba kufahamu kutoka kwenu je hii ramani ipo sawa ama la.
Vipi hadi kuisha kwake gharama zake Shilingi ngapi?
View attachment 2107737
Nawasilisha.
Unajenga GHOROFA au ya kawaida?Habari nyingi wakuu..
Katika ujenzi ambao nataka nianze Inshaallah baada ya kumaliza mambo mengine sasa nimechorowe ramani hii hapa kutokana na nyumba yangu nataka iwe hivi.
Hivyo basi wakuu humu kuna magwiji wa haya mambo ya ramani pamoja na ujenzi wake.Naomba kufahamu kutoka kwenu je hii ramani ipo sawa ama la.
Vipi hadi kuisha kwake gharama zake Shilingi ngapi?
View attachment 2107737
Nawasilisha.
Hiyo passage ya kuingilia master ningeipunguza na kuhamisha huo mlango ili nipate sehem ya dressing roomHabari nyingi wakuu..
Katika ujenzi ambao nataka nianze Inshaallah baada ya kumaliza mambo mengine sasa nimechorowe ramani hii hapa kutokana na nyumba yangu nataka iwe hivi.
Hivyo basi wakuu humu kuna magwiji wa haya mambo ya ramani pamoja na ujenzi wake.Naomba kufahamu kutoka kwenu je hii ramani ipo sawa ama la.
Vipi hadi kuisha kwake gharama zake Shilingi ngapi?
View attachment 2107737
Nawasilisha.
aisee imetulia hii. mzeya sittng room ya 6 x 5 metres sio mchezo, hapo sii unaweza ruka sarakasi kabisa mwanawane.Habari nyingi wakuu..
Katika ujenzi ambao nataka nianze Inshaallah baada ya kumaliza mambo mengine sasa nimechorowe ramani hii hapa kutokana na nyumba yangu nataka iwe hivi.
Hivyo basi wakuu humu kuna magwiji wa haya mambo ya ramani pamoja na ujenzi wake.Naomba kufahamu kutoka kwenu je hii ramani ipo sawa ama la.
Vipi hadi kuisha kwake gharama zake Shilingi ngapi?
View attachment 2107737
Nawasilisha.
Ukitaka kufanya kitu chako ukija kuomba ushauri humu utakata tamaa.Anyone with perfect ramani ?
Maana kwa jinsi mlivyo diss ramani ya jamaa Ni noma
kwa nini ukate tamaa? hapa mbona tunapata different views. wewe unachukuwa kile unaona kinafaa.Ukitaka kufanya kitu chako ukija kuomba ushauri humu utakata tamaa.
Soma michango utaona namaanisha nini.kwa nini ukate tamaa? hapa mbona tunapata different views. wewe unachukuwa kile unaona kinafaa.
kwanza kwa kuweka hapa ata wengine tunanufaika.
kama mie hii nimeipenda nita adjust kidogo naanza ujunzi mwezi wa tisa