Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Kwa viwanja vyetu hivi vidogo hapo gari inakaa vizuri unapotaka kuweka. barazaMkuu, hata baraza likihamia hapo nimetaja halitazuia uwepo wa madirisha mengi na sijajua hiyo theory ya kwamba baraza hupunguza ukubwa dirisha umeitoa wapi?
Kuna uwezekano baraza likawa la 'gebo' au slab, hatuna uhakika kwa sababu ramani haijaonesha mchoro wa bati