Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Kwa wale wafuasi wa magharibi na baadhi ya wachambuzi wanajaribu kuweka mitazamo yao kuhusu hali aliyonayo Russia pale Ukraine
Wengi wamekuwa wakisema Urusi ana hali ngumu na anajaribu kupoteza kila siku, lakini pia tujiulize je vipi kuhusu hali walizonazo zile nchi zinazo toa support kwa Ukraine?
Hapa tumtazame ufaransa na maslahi yake magharibi mwa Afrika kila uchwao yanazidi kuwekwa rehani na Russia kupitia njia ya mapinduzi yanayo tokea magharibi mwa Afrika.
Influence ya Russia Afrika inazidi kuongezeka kwa kasi Afrika hasa katika yale yaliyokuwa makoloni ya Ufaransa hali hii imezidi kufanya mahusiano ya Ufaransa na baadhi ya mataifa ya Afrika kuwa katika mashaka haijulikani siku wala saa yatakwama kwa njia ya mapinduzi.
Je, hiki anacho fanya Russia ni kisasi dhidi ya wale wanao muunga mkono Ukraine hasa Ufaransa?