Je, hiki anacho fanya Russia ni kisasi dhidi ya wale wanao muunga mkono Ukraine hasa Ufaransa?

Je, hiki anacho fanya Russia ni kisasi dhidi ya wale wanao muunga mkono Ukraine hasa Ufaransa?

Hakuna cha Movie hapo, kuna mkono mrefu wa Russia hapo hao ECOWAS watapiga kelele mwisho wa siku watalala. Hakuna bomba la gas kupita Niger
Ilo bomba la gas linatoka nchi ipi? Na kwenda nchi zipi?
 
Naona Warusi wa mchongo toka buza mmekimbilia huku kujifariji baada ya kuona mambo magumu frontline kwa baba yenu Putin [emoji23]
.....
Yeye alifikiri alipoichukua Crimea akaachwa basi ataendelea tu kudhulumu ardhi ya watu.
Hiyo miji hairudi
 
Back
Top Bottom