Come27 JF-Expert Member Joined Dec 1, 2012 Posts 7,723 Reaction score 7,408 Aug 1, 2023 #21 NiggaPac said: Hakuna cha Movie hapo, kuna mkono mrefu wa Russia hapo hao ECOWAS watapiga kelele mwisho wa siku watalala. Hakuna bomba la gas kupita Niger Click to expand... Ilo bomba la gas linatoka nchi ipi? Na kwenda nchi zipi?
NiggaPac said: Hakuna cha Movie hapo, kuna mkono mrefu wa Russia hapo hao ECOWAS watapiga kelele mwisho wa siku watalala. Hakuna bomba la gas kupita Niger Click to expand... Ilo bomba la gas linatoka nchi ipi? Na kwenda nchi zipi?
Mburu kidudu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2016 Posts 532 Reaction score 541 Aug 2, 2023 #22 Jackal said: Naona Warusi wa mchongo toka buza mmekimbilia huku kujifariji baada ya kuona mambo magumu frontline kwa baba yenu Putin [emoji23] ..... Yeye alifikiri alipoichukua Crimea akaachwa basi ataendelea tu kudhulumu ardhi ya watu. Click to expand... Hiyo miji hairudi
Jackal said: Naona Warusi wa mchongo toka buza mmekimbilia huku kujifariji baada ya kuona mambo magumu frontline kwa baba yenu Putin [emoji23] ..... Yeye alifikiri alipoichukua Crimea akaachwa basi ataendelea tu kudhulumu ardhi ya watu. Click to expand... Hiyo miji hairudi
Jackal JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 9,971 Reaction score 13,608 Aug 2, 2023 #23 Mburu kidudu said: Hiyo miji hairudi Click to expand... Mpaka Crimea itarudi! Mwisho wa siku Putin ndiye atakayekufa.Mark my words!
Mburu kidudu said: Hiyo miji hairudi Click to expand... Mpaka Crimea itarudi! Mwisho wa siku Putin ndiye atakayekufa.Mark my words!
Driver proffesional JF-Expert Member Joined Feb 18, 2022 Posts 372 Reaction score 1,042 Aug 2, 2023 #24 Jackal said: Mpaka Crimea itarudi! Mwisho wa siku Putin ndiye atakayekufa.Mark my words! Click to expand... Hahaha kama ilivyo rudi bukhmut na mauripaul sio
Jackal said: Mpaka Crimea itarudi! Mwisho wa siku Putin ndiye atakayekufa.Mark my words! Click to expand... Hahaha kama ilivyo rudi bukhmut na mauripaul sio
Mto Songwe JF-Expert Member Joined Jul 17, 2023 Posts 6,683 Reaction score 14,060 Mar 15, 2024 Thread starter #25 Acha tuone sakata la mfaransa na mrusi