Je, hiki kilichofanywa na Klabu ya Pyramids ya Misri dhidi ya Klabu ya JKU ya Zanzibar siyo Dharau kwa Wazanzibari na Watanzania kwa Ujumla?

Mambo ya Zanzibar hayatuhusu Watanganyika.
 
Vijitimu vya Zanzibar unaviletaje kwenye hili jukwaa?
Mambo madogo madogo ya kuongelea kwenye saluni za kike za vingunguti unayaleta huku?
Bro, tutakeradhi.
Endelea tu kujaa katika 18 sawa?
 
Hapo sasa Wazanzibari ndiyo wanapenda kama ulikuwa hujui. Yaani wanapenda sana vitu vya bure na pamoja na urojo! Kuliko kitu kingine chochote hapa duniani.
 
Hapo sasa Wazanzibari ndiyo wanapenda kama ulikuwa hujui. Yaani wanapenda sana vitu vya bure na pamoja na urojo! Kuliko kitu kingine chochote hapa duniani.
Leo nimeshangaa mno Umechangia huu Uzi wangu bila ya Kunidhihaki na Kunitukana kama ilivyo kawaida yako. au Simu yako Umemuazima Mtu mwenye Nidhamu na Maadili aitumie kwa muda?
 
Chogo
 
Huo ni upangaji wa matokeo tu! Haiwezekani, timu mbili zinazopambana kupata nafasi moja, eti mojawapo iifadhiri nyingine ki hivi!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Yaani tokea niuanzishe huu Uzi ni Wewe pekee ambaye mpaka sasa umeuelewa huu Uzi na umeuchangia kwa Upeo mkubwa mno Kimantiki kuliko Wengineo ambao naona wamechangia Pumba tupu. Heko sana Mkuu.
 
Hizo ni Club rafiki na ni dalili njema kwa siku zijazo
 
Upo sahihi hatupo serious na mpira yaani Timu ya Tanzania inafanyiwa kama zile za Burundi ukiona migogoro ya usajiri wa wachezaji unajua kabisa usimamizi wa chama cha mpira ni hovyo...
 
Usiingize mambo ya Zanzibar kwetu.

Wazanzibar watajuana wenyewe.

Kwanza masheikh wanawaona waarabu ndio mitume.

JKU na UHAMIAJI wameuza mechi zao. Timu njaa ni Kali.

Zanzibar inalazimisha kutambulika FIFA na CAF lakini hakuna seriousness yoyote zaidi ya ujinga tu
 
Kama mnahamu ns pyramid subiri kidogo itakuja chamanzi.

Naona hawajataka kuja zenji ili wasisomwe na azam
Mechi zao zote za ligi ya Egypt ni LIVE.

Hiyo siyo sababu.

Suala lankujua uwezo huwa halisaidii.

Kina Messi, Ronaldo uwezo wao unajulikana na mipango ya kuwakaba ilikuwa inawekwa lakini wanafunga.

Timu kama Pamba Jiji inajua uwezo wa Simba hata iisome unadhani, itaweza kuizuia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…