Je, hiki kilichofanywa na Klabu ya Pyramids ya Misri dhidi ya Klabu ya JKU ya Zanzibar siyo Dharau kwa Wazanzibari na Watanzania kwa Ujumla?

Wazanzibar wengi wanatamaa sana Hasa viongozi wao rejea zile milion 10 za cecafa zilivyotaka kuwatoa roho
 
TFF inaingiaje kwenye huo upuuzi wa wala urojo!?
 
Zanzibar Wanakosaje pesa ya kupeleka timu?
 
Vtalo mpwa hioo
 
Mbona hata Vital O ya burundi mechi zao zote 2 na yanga zinachezwa dar es salaam
Timu za Burundi hutumia uwanja wa Azam complex, msimu uliopita timu ya Egle Noir na Bumamuru zote hizo ni za Burundi zilitumia uwanja wa Azam complex.
Kwa msimu huu uwanja wa Azam utatumika na timu kutoka Somalia, Djibouti na Burundi.
Kuna sababu kuu mbili zinazozifanya timu zihamishe mechi zao kwenda kuchezea mechi nchi nyingine.
1) Kutokuwa na uwanja unaokidhi viwango vya CAF
2) Sababu za kiusalama ( machafuko kutokana na vita)

Kwa upande wa timu za Zanzibar kwakweli inastaajabisha kuona pamoja na kuwa na uwanja unaokidhi viwango na nchi yao kuwa katika amani, wameamua kuchagua maslahi ya kipesa na kidini. Sidhani kama wangepangiwa na timu ambazo sio za kiarabu kama wangefanya kituko hiki.
Maana hadi mechi ya Uhamiaji vs Al Ahli Tripoli itapigwa Libya mechi zote mbili
 
Jamaa nimegundua ana matatizo ya akili nyuzi nyingi yeye kazi yake kuleta shari tu , nimeona nimpuuze ahangaike mwenyewe na ujinga wake.
Umefanya la maana japo umesahau / hujajua kuwa hiyo ni alternative ID ya Mmoja wa Watu waliopigwa BAN majuzi.
 
Tafuta hela hakuna huruma kwa Maskini.na umaskini Sio sifa ya kujivunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…