Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 2,255
- 2,825
Jamaa unajikuta special sana 🤣🤣🤣Endelea tu kujaa katika 18 sawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa unajikuta special sana 🤣🤣🤣Endelea tu kujaa katika 18 sawa?
Basi mechi moja ingepigwa rwanda
Wazanzibar wengi wanatamaa sana Hasa viongozi wao rejea zile milion 10 za cecafa zilivyotaka kuwatoa rohoBaada ya kuona Klabu ya JKU ya Zanzibar ina Umasikini ( Ukata ) hasa katika Kushiriki Michuano ya Kimataifa Klabu ya Pyramid kutokea nchini Misri imeamua kutumia Umasikini wa JKU ya Zanzibar kwa kuwaomba Wakubali kucheza Mechi zao zote Mbili huko Misri na kwamba wasikubali kuja Kucheza mchezo wao wa Marejeoano Kisiwani Zanzibar.
Klabu ya Pyramid ambayo inatambia Jeuri yake ya Pesa na Utajiri mkubwa iliyonayo haijaishia tu Kuishawishi Klabu ya JKU kufanya watakalo Wao bali wameenda mbele pia na kuamua Kuwatafutia Hoteli ya Kimataifa na ya Kifahari ya Kukaa kwa muda wote watakaokuwa huko nchini Misri, kuwakarimu kwa mambo madogo madogo wakiwa huko na kubwa ni kuwapa 30% ya Mapato ya Mechi zao zote Mbili.
Je, ina maana Serikali ya Zanzibar na pia hata TFF ( Tanzania ) zimekubali hii Dharau na Jeuri ya Klabu ya Pyramids?
TFF inaingiaje kwenye huo upuuzi wa wala urojo!?Baada ya kuona Klabu ya JKU ya Zanzibar ina Umasikini ( Ukata ) hasa katika Kushiriki Michuano ya Kimataifa Klabu ya Pyramid kutokea nchini Misri imeamua kutumia Umasikini wa JKU ya Zanzibar kwa kuwaomba Wakubali kucheza Mechi zao zote Mbili huko Misri na kwamba wasikubali kuja Kucheza mchezo wao wa Marejeoano Kisiwani Zanzibar.
Klabu ya Pyramid ambayo inatambia Jeuri yake ya Pesa na Utajiri mkubwa iliyonayo haijaishia tu Kuishawishi Klabu ya JKU kufanya watakalo Wao bali wameenda mbele pia na kuamua Kuwatafutia Hoteli ya Kimataifa na ya Kifahari ya Kukaa kwa muda wote watakaokuwa huko nchini Misri, kuwakarimu kwa mambo madogo madogo wakiwa huko na kubwa ni kuwapa 30% ya Mapato ya Mechi zao zote Mbili.
Je, ina maana Serikali ya Zanzibar na pia hata TFF ( Tanzania ) zimekubali hii Dharau na Jeuri ya Klabu ya Pyramids?
Vital O tatizo ni kuwa hawana uwanja unaokidhi vigezo vya CAF siyo Ukata.Mbona hata Vital O ya burundi mechi zao zote 2 na yanga zinachezwa dar es salaam
Zanzibar Wanakosaje pesa ya kupeleka timu?Baada ya kuona Klabu ya JKU ya Zanzibar ina Umasikini ( Ukata ) hasa katika Kushiriki Michuano ya Kimataifa Klabu ya Pyramid kutokea nchini Misri imeamua kutumia Umasikini wa JKU ya Zanzibar kwa kuwaomba Wakubali kucheza Mechi zao zote Mbili huko Misri na kwamba wasikubali kuja Kucheza mchezo wao wa Marejeoano Kisiwani Zanzibar.
Klabu ya Pyramid ambayo inatambia Jeuri yake ya Pesa na Utajiri mkubwa iliyonayo haijaishia tu Kuishawishi Klabu ya JKU kufanya watakalo Wao bali wameenda mbele pia na kuamua Kuwatafutia Hoteli ya Kimataifa na ya Kifahari ya Kukaa kwa muda wote watakaokuwa huko nchini Misri, kuwakarimu kwa mambo madogo madogo wakiwa huko na kubwa ni kuwapa 30% ya Mapato ya Mechi zao zote Mbili.
Je, ina maana Serikali ya Zanzibar na pia hata TFF ( Tanzania ) zimekubali hii Dharau na Jeuri ya Klabu ya Pyramids?
Vital O tatizo ni kuwa hawana uwanja unaokidhi vigezo vya CAF siyo Ukata.Mbona hata Vital O ya burundi mechi zao zote 2 na yanga zinachezwa dar es salaam
Vtalo mpwa hiooBaada ya kuona Klabu ya JKU ya Zanzibar ina Umasikini ( Ukata ) hasa katika Kushiriki Michuano ya Kimataifa Klabu ya Pyramid kutokea nchini Misri imeamua kutumia Umasikini wa JKU ya Zanzibar kwa kuwaomba Wakubali kucheza Mechi zao zote Mbili huko Misri na kwamba wasikubali kuja Kucheza mchezo wao wa Marejeoano Kisiwani Zanzibar.
Klabu ya Pyramid ambayo inatambia Jeuri yake ya Pesa na Utajiri mkubwa iliyonayo haijaishia tu Kuishawishi Klabu ya JKU kufanya watakalo Wao bali wameenda mbele pia na kuamua Kuwatafutia Hoteli ya Kimataifa na ya Kifahari ya Kukaa kwa muda wote watakaokuwa huko nchini Misri, kuwakarimu kwa mambo madogo madogo wakiwa huko na kubwa ni kuwapa 30% ya Mapato ya Mechi zao zote Mbili.
Soma Pia: Upangaji wa matokeo na rushwa itaangamiza soka Zanzibar Kimataifa
Je, ina maana Serikali ya Zanzibar na pia hata TFF ( Tanzania ) zimekubali hii Dharau na Jeuri ya Klabu ya Pyramids?
Timu za Burundi hutumia uwanja wa Azam complex, msimu uliopita timu ya Egle Noir na Bumamuru zote hizo ni za Burundi zilitumia uwanja wa Azam complex.Mbona hata Vital O ya burundi mechi zao zote 2 na yanga zinachezwa dar es salaam
Umefanya la maana japo umesahau / hujajua kuwa hiyo ni alternative ID ya Mmoja wa Watu waliopigwa BAN majuzi.Jamaa nimegundua ana matatizo ya akili nyuzi nyingi yeye kazi yake kuleta shari tu , nimeona nimpuuze ahangaike mwenyewe na ujinga wake.
Kama Lionel Messi na Yesu Kristo wa Nazareth aliye Hai.Jamaa unajikuta special sana 🤣🤣🤣
Hahahahaha! huu uzi umefanya mods wamlambe ban tena.Umefanya la maana japo umesahau / hujajua kuwa hiyo ni alternative ID ya Mmoja wa Watu waliopigwa BAN majuzi.
Nilimripoti muda ule ule Mkuu. Siku hizi hawa Wapuuzi wala sipotezi muda Kujibizana nao bali Nawaripoti upesi wale BAN.Hahahahaha! huu uzi umefanya mods wamlambe ban tena.
Ukiweka nyuzi zenye madini, kwa nini nisikufagilie comrade!!Leo nimeshangaa mno Umechangia huu Uzi wangu bila ya Kunidhihaki na Kunitukana kama ilivyo kawaida yako. au Simu yako Umemuazima Mtu mwenye Nidhamu na Maadili aitumie kwa muda?
Hahahahaha umenikumbusha 2010 ,Simba tulipoenda kucheza na Haras Al hadood ,Mechi ilikua ichezwe Cairo, jamaa wakatulipia kwenda Alexandria kucheza, tukala 5-1Hata Simba na yanga zlifadhiliwa na waarabu wa Misri kipindi wako dhoofulhali.
Tafuta hela hakuna huruma kwa Maskini.na umaskini Sio sifa ya kujivunia.Baada ya kuona Klabu ya JKU ya Zanzibar ina Umasikini ( Ukata ) hasa katika Kushiriki Michuano ya Kimataifa Klabu ya Pyramid kutokea nchini Misri imeamua kutumia Umasikini wa JKU ya Zanzibar kwa kuwaomba Wakubali kucheza Mechi zao zote Mbili huko Misri na kwamba wasikubali kuja Kucheza mchezo wao wa Marejeoano Kisiwani Zanzibar.
Klabu ya Pyramid ambayo inatambia Jeuri yake ya Pesa na Utajiri mkubwa iliyonayo haijaishia tu Kuishawishi Klabu ya JKU kufanya watakalo Wao bali wameenda mbele pia na kuamua Kuwatafutia Hoteli ya Kimataifa na ya Kifahari ya Kukaa kwa muda wote watakaokuwa huko nchini Misri, kuwakarimu kwa mambo madogo madogo wakiwa huko na kubwa ni kuwapa 30% ya Mapato ya Mechi zao zote Mbili.
Soma Pia: Upangaji wa matokeo na rushwa itaangamiza soka Zanzibar Kimataifa
Je, ina maana Serikali ya Zanzibar na pia hata TFF ( Tanzania ) zimekubali hii Dharau na Jeuri ya Klabu ya Pyramids?
Bora wale Hela na wapate pesa ya kufanyia usajiri dirisha dogoWakubali wakatae Pyramids itawatoa