popomwitu
JF-Expert Member
- Aug 11, 2022
- 261
- 613
Kumekuwa na kasumba ya baadhi wa viongozi wa Africa kuabudu na kusujudu viongozi wa mataifa beberu Kiasi kwamba imekuwa ni aibu. Raisi wa Burkina Faso Traole alipoonana na Putin Kwa mara ya kwanza alipiga salute ilhali wote ni maraisi (wakuu wa nchi) wa nchi zao.
Hapa napo angalia huyu Raisi wa Liberia anamuita Trump Sir, hivi sisi tulirogwa au ndio tuna uchawa wa kuzaliwa nao tu..😂
# Mabadiliko ni muhimu kuelekea Uchaguzi mkuu.
Hapa napo angalia huyu Raisi wa Liberia anamuita Trump Sir, hivi sisi tulirogwa au ndio tuna uchawa wa kuzaliwa nao tu..😂
# Mabadiliko ni muhimu kuelekea Uchaguzi mkuu.