Je, hiki kinachompata Nay wa Mitego ndiyo sababu ya kuwa na Wasanii wengi Tanzania wanaojinasibu kuwa ni CCM?

Mkuu tujikite kwenye wimbo huu wa 'Nitasema', ni maneno gani ndani ya wimbo huu ambayo ni ya hovyo na yanayokera???

Hebu tuainishie hayo maneno hapa nasi tuyaepuke!! Yanakera kivipi?? Maana hata Basata kwenye hukumu yao hawaja sema yanakera au ni ya hovyo, wamesema wao wameona hayana ushahidi!!

Mkuu wewe hii hukumu yako ya kwamba maneno hayo ni ya hovyo na yanakera umeitoa wapi?? Kwa kanuni na sheria ipi tofauti na ya Basata???
 
Kwani wakimwita hawatowi sababu za kumwita?

. Wacheni majungu.
Mwislamu anayejinasibu kuwa mwislamu safi huku hatetei haki, ni muongo na mnafiki anaaibisa huo uislamu wake na kuufanya uonekane kama dini iliyojaa ghilba tupu.
Hakika watu wa aina yako ni fedheha kuu.
فلن ترى الجنة إلا بالتوبة والعمل الصالح.
 
Kamuulize mama yako hayo maswali ya kipumbavu
 
Na ukiwa SISIEMU ukaimba wimbo wa kumsema Mbowe na upinzani kwa ujumla hautoitwa na BAR-SIR-TAA hata siku moja.
 
Mti wenye Matunda
 
Kama wewe ni msanii hupendi mambo ya Pdidy utapata tabu sana.
 
Laana ya wale wanaoitumikia CCM ndiyo hiyo wanaishia kupakwa mafuta na Pdidy.
 
Nitashangaa Afisa Utamaduni wa Halmashauri ya Wilaya Manispaa atakayempa Ney kibali cha kutoa burudani ili amtukane Rais
 
Jiulize wewe unapenda kuambiwa ukweli? Unaamini kwenye uhuru wa kutoa maoni? Au unapenda kusikia ukweli unaosemwa kuhusu serikali na ccm tu? Mtu akikosoa upinzani unaweza kuvumilia na kuheshimu uhuru wake wa kutoa maoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…