Je hiki ni kijembe kwa Ruby na Clouds?

Je hiki ni kijembe kwa Ruby na Clouds?

Tangu lin muziki umemshinda jide?hv hapa ana plan kuja na party siku ya valentine day. Clouds hawamuwezi yule mkurya.
Ukiondoa vijembe VYAKE na kujibizana na mashabiki Instagram ,ana nyimbo gani inayowika mpaka sasa?
 
Ruby aliwazingua clouds miez kadhaa iliyopita akisema ni wanyonyaji ila jana kaomba msamaha,

Jide aliwazingua pia clouds kitambo na hajawahi kuomba msamaha sasa correlate na hiyo tweet uone inakuwaje
my friend Jide aliomba msamaha baada ya kushindwa kesi mahakamani na kesi yake kutupwa mbali na wakarudianaa na clouds live on air mwaka jana na akatangaza hamna tena beef. huwezi kuisusia media house hata siku moja
 
Acha kuchekesha! Hivi unategemea Jaydee awe anaendelea ku-hit kama zamani!? Wako wapi wenzake alioanza nao game!?
Mbona jide mwenyew kimya!! anakufa kijerumani au?
 
Naona unachekesha! Media houses ziko ngapi mpaka ainyenyekee clouds !? Enzi za kuinyenyekea clouds zilishapita ndugu.

Back
Top Bottom