Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona jide mwenyew kimya!! anakufa kijerumani au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona jide mwenyew kimya!! anakufa kijerumani au?
[emoji23][emoji23][emoji23]Jide kama wewe komando kweli olewa Na kaka yetu Deogratius Kisandu au jiunge Na kanisa la komando mwenzako Nabii Tito
Na wewe mbona hakuna unachokifanyaJide tangu amchumbie yule mnaija koko simuelewi anachofanya, ni bora arudi kwa mkojozaji
Tangu lin muziki umemshinda jide?hv hapa ana plan kuja na party siku ya valentine day. Clouds hawamuwezi yule mkurya.Jide mziki umemshinda,kawa mtu wa mipasho sana siku hizi pamoja na kupiga piga vijipicha vya kimahaba na mvulana wake
hahaha!!..Asante mzee baba!Jide kama wewe komando kweli olewa Na kaka yetu Deogratius Kisandu au jiunge Na kanisa la komando mwenzako Nabii Tito
[emoji102]hahaha!!..Asante mzee baba!
Ukiondoa vijembe VYAKE na kujibizana na mashabiki Instagram ,ana nyimbo gani inayowika mpaka sasa?Tangu lin muziki umemshinda jide?hv hapa ana plan kuja na party siku ya valentine day. Clouds hawamuwezi yule mkurya.
my friend Jide aliomba msamaha baada ya kushindwa kesi mahakamani na kesi yake kutupwa mbali na wakarudianaa na clouds live on air mwaka jana na akatangaza hamna tena beef. huwezi kuisusia media house hata siku mojaRuby aliwazingua clouds miez kadhaa iliyopita akisema ni wanyonyaji ila jana kaomba msamaha,
Jide aliwazingua pia clouds kitambo na hajawahi kuomba msamaha sasa correlate na hiyo tweet uone inakuwaje
Mbona jide mwenyew kimya!! anakufa kijerumani au?
my friend Jide aliomba msamaha baada ya kushindwa kesi mahakamani na kesi yake kutupwa mbali na wakarudianaa na clouds live on air mwaka jana na akatangaza hamna tena beef. huwezi kuisusia media house hata siku moja
Naona unachekesha! Media houses ziko ngapi mpaka ainyenyekee clouds !? Enzi za kuinyenyekea clouds zilishapita ndugu.