Je hili inaweza kuwa Uthibitisho wa safari ili kupata passport?

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,319
Reaction score
6,878
Nikisema nataka kujifunza udereva kwa kuwa Tingo hivyo nina safari za mara kwa mara za nje ya nchi...

Sababu hii inaweza kuwa sehemu ya mimi kupata hati ya kusafiria?
 
sema hata unataka kwenda burudi nchi ya kifala ile hawata kuuliza maswali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…