GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkijifanya mna Akili Kubwa msisahau kuwa tuko Wengine wenye nazo hadi hatujui tumpunguzie nani.
Kwahiyo tulisubiri hadi Mwamba arejee rasmi leo ndipo tuutangaze huu Mkeka kisha tumpelekee Jirani Mtu ambaye walikuwa Marafiki na anayemjua ndani nje?
Siku zingine mtushirikishe na Sisi akina GENTAMYCINE ili tuwasaidie katika kufanya 'Spinning' na kuwa 'Strategical' ili msishtukiwe mapema sawa?