GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nchi iko kimya ilishamsahau,nadhani hata yy anashangaaa.Umepuyanga sana,ina maana Nasari anamjua Lissu kuliko watu wa Iramba.
Dunia hii ya technolojia huitaji kuwa karibu kijiografia,ili kumjua mtu.
Lissu hagombei ubunge tena kwao .Lissu anagombea urais
Tena Nassari ndio yuko hatarini kurogwa na kulazwa nje ya nyumba na wana iramba,endapo atathubutu kumgusa Lissu home boy wao
Mwisho Lissu kwao ni Ikungi
Tuliosoma Hungary tumekuelewa.Mkijifanya mna Akili Kubwa msisahau kuwa tuko Wengine wenye nazo hadi hatujui tumpunguzie nani.
Kwahiyo tulisubiri hadi Mwamba arejee rasmi leo ndipo tuutangaze huu Mkeka kisha tumpelekee Jirani Mtu ambaye walikuwa Marafiki na anayemjua ndani nje?
Siku zingine mtushirikishe na Sisi akina GENTAMYCINE ili tuwasaidie katika kufanya 'Spinning' na kuwa 'Strategical' ili msishtukiwe mapema sawa?
Mkijifanya mna Akili Kubwa msisahau kuwa tuko Wengine wenye nazo hadi hatujui tumpunguzie nani.
Kwahiyo tulisubiri hadi Mwamba arejee rasmi leo ndipo tuutangaze huu Mkeka kisha tumpelekee Jirani Mtu ambaye walikuwa Marafiki na anayemjua ndani nje?
Siku zingine mtushirikishe na Sisi akina GENTAMYCINE ili tuwasaidie katika kufanya 'Spinning' na kuwa 'Strategical' ili msishtukiwe mapema sawa?
Tulia uandike Thread yako vizuri. Siyo kila kitu unachofikiria kichwani mwako uandike. Unaweza ukawehuka.Mkijifanya mna Akili Kubwa msisahau kuwa tuko Wengine wenye nazo hadi hatujui tumpunguzie nani.
Kwahiyo tulisubiri hadi Mwamba arejee rasmi leo ndipo tuutangaze huu Mkeka kisha tumpelekee Jirani Mtu ambaye walikuwa Marafiki na anayemjua ndani nje?
Siku zingine mtushirikishe na Sisi akina GENTAMYCINE ili tuwasaidie katika kufanya 'Spinning' na kuwa 'Strategical' ili msishtukiwe mapema sawa?
NakaziaIkungi na Iramba wapi na wapi? Kuelekea Manyoni na kuelekea Igunga wapi na wapi?
Tulia uandike Thread yako vizuri. Siyo kila kitu unachofikiria kichwani mwako uandike. Unaweza ukawehuka.
Umeniwahi mkuu. Ikungi na Iramba wapi na wapi? Jamaa anafanya masterbation hadharani..YANI anaongea madudu hayaeleweki.Umepuyanga sana,ina maana Nasari anamjua Lissu kuliko watu wa Iramba.
Dunia hii ya technolojia huitaji kuwa karibu kijiografia,ili kumjua mtu.
Lissu hagombei ubunge tena kwao .Lissu anagombea urais
Tena Nassari ndio yuko hatarini kurogwa na kulazwa nje ya nyumba na wana iramba,endapo atathubutu kumgusa Lissu home boy wao
Mwisho Lissu kwao ni Ikungi
super f..lMkijifanya mna Akili Kubwa msisahau kuwa tuko Wengine wenye nazo hadi hatujui tumpunguzie nani.