Southern Giant
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 621
- 1,298
- Thread starter
-
- #141
Nasikia dawa yao ni LATRA tuUkiambiwa ufike stand saa 11, ukagika saa 11 kasoro na basi halipo usihangaike kulifukuza waambie tu wameyatimba maana umewahi na wao wameleta usela. Kuna Mabasi wanakwambia fika stand saa 9, saa 9 na nusu tunaondoka. Ukifika saa 8 na dakika 50 unaambiwa washasepa wakimbize.
Machozi yalikua yanaruka kwa kuelekea nyuma, pikipiki ilikua inatembea vibaya mnoVipi speed ya boda ilikuaje mkuu
😂😂😂😂😂😂 Pole sana mkuu...Machozi yalikua yanaruka kwa kuelekea nyuma, pikipiki ilikua inatembea vibaya mno
alishazipigia hesabu hizo siti hapo moro angebeba abiria wakeMimi ilinitokea mwaka juzi tunaenda msibani nmekata siti za kutosha 480000, fresta ikatuacha. Shida tulikuwa na watoro so kuifukuza na boda tusingeweza. Fresta nyingine ikatubeba tukaja ikuta moro, konda wa fresta iliyotuacha alimaindi nadhan alikuwa ashaona atauza siti
asante.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pole sana mkuu...
ilikuaje na vp uliipata?2016 nikiwa natoka tanga kuja dar
pole sana mkuuNiliachwa na gari msamvu , nyehunge ya kuelekea mwanza .
Nilipatwa na msiba wa mke nikapewa ruhusa ya kupumzika nikaamua kurudi nililozaliwa kupumzika .Stress zilinifanya niamke saa 6 siku inayofuata badala ya saa 11 .Tokea hapo hua sikati tiketi tena hata iweje yaani
Kuwakimbiza na ile speed hapana aiseee ni bora usubiri kesho au upande gari lingine maana wanakuwaga na muda wa kutoka tofauti tofauti kwa hiyo hiyo kampuniasante.
ila safari nyengine kama itatokea hivi sisumbuki kuwakimbiza ni kuipigia mamlaka alafu watanyooka
kwa sasa nimejifunzamengi baada ya hilo tukioKuwakimbiza na ile speed hapana aiseee ni bora usubiri kesho au upande gari lingine maana wanakuwaga na muda wa kutoka tofauti tofauti kwa hiyo hiyo kampuni
Yes mzee ila sinaga aina ya usingizi wa pono kulala mpka kuachwa na garipole sana mkuu
Mudamwingine sio usingizi ila uzembe wa mabasi husika, mfano kuwahi kuondoka mapema au kubadilisha gari ya safariYes mzee ila sinaga aina ya usingizi wa pono kulala mpka kuachwa na gari
Mm walishawahi niingiza choo cha kike,tena mwanamke basi sitaki kuwasikia had leoMimi nimeexperience kinyume
Nishawahi kukata tiketi gari la kuelekea Dodoma (nadhani ilikuwa alsaedy au super champion)
Nimekata tiketi saa 2 na walisema litaondoka saa 2 ½, kibaya naingia ndani nakuta abiria kama watano tu nikasema leo nimeyakanyaga
Nimejaribu kwenda Kwa konda akawa anakazia abiria wapo wengi tu wametoka nje na akanionyesha kitab Chao Cha tiketi kweli kilikuwa kinakaribia kujaa
Tukikaa kwenye gari kuanzia saa 2 hadi saa 5, kibaya zaidi gari lilikuwa lipo limewashwa likazimwa na wakalipaki pembeni kabisa kuonesha hakuna ratiba ya kuondoka
Kuna jamaa mmoja, akawafuata makonda akawaka sana na akawaambia wamrudishie nauli yake huku wengine tupo kimya tu tunasapoti kimoyomoyo
Jamaa wakataka kumrudishia Hela yake akagoma akasema yeye atakuwa wa mwisho kupewa, yaani Hela Kila mtu apewe nauli yake ili akapande gari lingine
Jamaa wakapagawa wakaamua kuanza safari.
NILICHOJIFUNZA
1. Hutakiwi kuwasikiliza maagent vishoka maana waliniongopea gari kama kimbinyiko, shabiby nk zimejaa kumbe uongo
2. Sikuwahi kukata tiketi mpaka niingie ndani ya gari nijirishishe kuwa lina abiria wa kutosha
3. Kusafiri na kampuni za uhakika sio magari mabovumabovu /ya zamani
Hii hatua unaweza kumsusia chenji[emoji16]Niko naelekea kigoma kabla ya stand ya chalinze km kama 5 hiv kuna vx iligongana na lori la mchanga sasa ikasababisha foleni
Nikashuka ku****a bwana nakuja kurud bus ishaondoka aiseee boda chap mpaka stand ya chalinze naikuta bus ndo inatoka boda anataka 5000 na mm nina 10 hana chench nilihahaaa aisee jirani yangu ndo akaniazima 5000
Betrice popote ulipo kunywa peps kwa mara nyingne ulinisave sana siku hiyo
[emoji23][emoji1787][emoji28][emoji38][emoji16][emoji1][emoji2][emoji3]Kuna siku natoka Dom kwenda Arusha nimekata Shabiby. Siku hiyo nililala kahoteli flani kako karibu kabisa na ofisi za Shabiby sikakumbuki jina.
Bus lilikua linaondoka saa 1 kamili, picha linaanza nimeshtuka usingizini saa 1 kasorobo! Kwanza sikuamini macho yangu manake mi huaga mwepesi sana kuamka mapema. Aisee nilikurupuka, tupia manguo kwn begi, piga mswaki huku navaa. Nilitoka mkuku pale hotelini hata sijaaga. Mbio mpaka Shabiby nimefika saa 1 kasoro 5 sioni bus! Nauliza jamaa pale nje wananiambia mbona bus limetoka mda tu? Nikadata!
Ila nikatuliza akili nikasema mimi sikimbizi bus, kama nimechelewa nachukua lingine. Nikaingia mule ndani ofisini nikawafata wale wadada kuwaonyesha ticket na kuuliza vizuri wakaniambia tulia boss bus limechelewa kidogo linakuja soon. Ndio nikapumua
Dah nakwambiaa pressure ya gari kuondoka na chenji bora uache lkn betrice aliupiga mwingi sana siku hiyoHii hatua unaweza kumsusia chenji[emoji16]
Kiuhalisia walitakiwa wamlipie maana wameo doka kabla ya mdaNdo ujanja huo??! Kudhulumu mwenzako unajisifia!!!!