Ulipima kwa Sangoma au hospitalini?, weka wazi,Habari zenu wakuu,
Mimi kuna tatizo linanisumbua kwa muda mrefu sasa zaidi ya miaka miwili, yaani nahisi homa kali, nawashwa kuanzia kifuani mpaka miguuni. Nimeenda hospitali nimepima malaria,typhoid na UTI, HIV na hivyo vyote sina. Nitakua nasumbuliwa na nini jamani? maana hapa nilipo nateseka sana kwa kuwashwa pamoja na homa, na nawashwa zaidi nyakati za jioni.
HospitaliniUlipima kwa Sangoma au hospitalini?, weka wazi,
Nenda muhimbili kwa vipimo zaidiHospitalini
Ahsante mkuu
Kinagarimu kiasi gani hicho kipimo mkuu?Nenda watakufanyia Kipimo cha FBS ( Full Blood Scan) kitaonesha uelekeo wa tatizo lako maana kwenye damu ndio kila kitu maana Doctor akisoma direction ya seli za damu yako atagundua kiini cha tatizo lako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu
Vipi kuhusu na homa mkuuItching can be caused by toxins on the skin (contact dermatitis, such as from poison ivy, poison oak, poison sumac, or grass oils), medications, liver disease, kidney disease, insect bites, hives (urticarial), rare forms of skin cancer (mycosis fungoides and T-cell lymphomas), infections (includingchickenpox and fungal infections such as athlete's foot and jock itch), irritation from clothing, eczema, dermatitis herpetiformis, hemorrhoids, and many other conditions, or it can remain unexplained. Infectious causes of itching include sexually transmitted diseases (STDs), parasites (such as scabies, fleas, bedbugs, pinworms, and lice), and viral rashes
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa e*ola mkuu, sorry just kidding...
Nenda Kwa wachina wakutoe sumu mwilini humo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee, hii Kama sio ngoma basi tena. Hizi ni dalili za ukimwi aisee! Soma hizo dalili 16 za ukimwi alizoandika MziziMkavu