Habari zenu wakuu,
Mimi kuna tatizo linanisumbua kwa muda mrefu sasa zaidi ya miaka miwili, yaani nahisi homa kali, nawashwa kuanzia kifuani mpaka miguuni. Nimeenda hospitali nimepima malaria,typhoid na UTI, HIV na hivyo vyote sina. Nitakua nasumbuliwa na nini jamani? maana hapa nilipo nateseka sana kwa kuwashwa pamoja na homa, na nawashwa zaidi nyakati za jioni.