Je, hili litakua tatizo gani? maana linanitesa sana!

solanum

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
203
Reaction score
99
Habari zenu wakuu,

Mimi kuna tatizo linanisumbua kwa muda mrefu sasa zaidi ya miaka miwili, yaani nahisi homa kali, nawashwa kuanzia kifuani mpaka miguuni. Nimeenda hospitali nimepima malaria,typhoid na UTI, HIV na hivyo vyote sina. Nitakua nasumbuliwa na nini jamani? maana hapa nilipo nateseka sana kwa kuwashwa pamoja na homa, na nawashwa zaidi nyakati za jioni.
 
Ulipima kwa Sangoma au hospitalini?, weka wazi,
 
Aisee, hii Kama sio ngoma basi tena. Hizi ni dalili za ukimwi aisee! Soma hizo dalili 16 za ukimwi alizoandika MziziMkavu
 
Itching can be caused by toxins on the skin (contact dermatitis, such as from poison ivy, poison oak, poison sumac, or grass oils), medications, liver disease, kidney disease, insect bites, hives (urticarial), rare forms of skin cancer (mycosis fungoides and T-cell lymphomas), infections (includingchickenpox and fungal infections such as athlete's foot and jock itch), irritation from clothing, eczema, dermatitis herpetiformis, hemorrhoids, and many other conditions, or it can remain unexplained. Infectious causes of itching include sexually transmitted diseases (STDs), parasites (such as scabies, fleas, bedbugs, pinworms, and lice), and viral rashes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaezekana una allergie ko nenda hospital kwa uchunguz zaid pia dam ikichafuka mambo kama hayo hutokea kama mm pia hlo tatzo la mwili kuwashwa ninalo ilifanya mpaka ninyoe nywele ila nilivohamia mkoa mwingine tatzo likaisha ko inaezekana kuna vtu vinaleta shda na hujui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda watakufanyia Kipimo cha FBS ( Full Blood Scan) kitaonesha uelekeo wa tatizo lako maana kwenye damu ndio kila kitu maana Doctor akisoma direction ya seli za damu yako atagundua kiini cha tatizo lako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinagarimu kiasi gani hicho kipimo mkuu?
 
Itching can be caused by toxins on the skin (contact dermatitis, such as from poison ivy, poison oak, poison sumac, or grass oils), medications, liver disease, kidney disease, insect bites, hives (urticarial), rare forms of skin cancer (mycosis fungoides and T-cell lymphomas), infections (includingchickenpox and fungal infections such as athlete's foot and jock itch), irritation from clothing, eczema, dermatitis herpetiformis, hemorrhoids, and many other conditions, or it can remain unexplained. Infectious causes of itching include sexually transmitted diseases (STDs), parasites (such as scabies, fleas, bedbugs, pinworms, and lice), and viral rashes

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu na homa mkuu
 
Back
Top Bottom