Bora umempa elimu ya bure huyo mleta mada coz anaonekana ni kitoto cha shule bado.Pia inategemeana na romance kuna romance nyingine unaweza pata ukimwi hata bila sex
Mf. Mdomoni kama kutakua na mchubuko wa size yeyote ile
So nenda kapime ukikuta huna rudi baada ya next three month Pima tena hapo utakua umejijua kama uko salama au lah..l
Miezi kama miwili hivi iliyopita kuna mwanamke nilikutana naye. Sikusex naye zaidi ya romance (Nashukuru Mungu). Siku mbili zilizopita nimesikia kuwa ni muathirika na anakunywa dawa na rafiki zake wamekuta hiko kibox chini wanadai ni cha ARV's.
Juzi baada ya kupata hizo taarifa amezidi kuniganda! Naomba kuhakikisha je ni kweli?
View attachment 830687
Lakini ni vema kujua afya yako mapema mkuuFanya haraka. Mnaopima mnatusaidia sana ambao hatupimi hata kwa kushikiwa bastola
Sana sana sanaDuuh watu mnapitia mitihani migumu Sana
Hapana deki sikupigaRomance yako ilikua ni ya kupiga deki!
Sawa mkuuHuo mzigo ni wenyewe. Vunga vunga ukapime tu (mana hata kwa romance unaweza ukapata)
Mnapima hivyo hivyo mara mbili kwa week, ila wewe mzee yote hayo ya nini jitulize tu.Sasa tutapima mara ngapi kama kwa wiki unakutana na bidhaa mpya mbili?
Duh......ina maana kashavuka level ya kwanza tayariEmtricitabine/tenofovir ni second line treatment hiyo mkuu wangepekua zaidi wangeona kibox kingine kimeandikwa atazanavir ambayo humezwa na hiyo ‘30 comprimes’ [emoji846]View attachment 830703
Hapana... acha tu. Unaweza ukacheki afya yako ukajikuta uko poa... kesho ukafa kwa ajali!Lakini ni vema kujua afya yako mapema mkuu
Kupima oil?Hapana deki sikupiga
Hiyo second line inatumika baada ya kwanza kufail au inakuwaje Mkuu.Emtricitabine/tenofovir ni second line treatment hiyo mkuu wangepekua zaidi wangeona kibox kingine kimeandikwa atazanavir ambayo humezwa na hiyo ‘30 comprimes’ [emoji846]View attachment 830703
Hahahaha... nikijituliza hawa wachuchu vikojoleo si vitaziba? Nawasaidia vijana bhana... vijana wa siku hizi wameshindwa kabisa kuwahudumia wachuchu .... sijui ndo hivi vyuma?Mnapima hivyo hivyo mara mbili kwa week, ila wewe mzee yote hayo ya nini jitulize tu.
Hapana sijui hata kwanini sikufika hukoKupima oil?
Sa ulifanya romance gani au hujui maana ya romance? Ulikula denda?Hapana sijui hata kwanini sikufika huko