Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wengi ndiyo wagonjwa si unaona kama huyo hapo juu.....tutakukosa shauriloHahahaha... nikijituliza hawa wachuchu vikojoleo si vitaziba? Nawasaidia vijana bhana... vijana wa siku hizi wameshindwa kabisa kuwahudumia wachuchu .... sijui ndo hivi vyuma?
Denda nilikula ila oil sikupimaSa ulifanya romance gani au hujui maana ya romance? Ulikula denda?
Mgenikosa miaka mingi sana. Kama mpk leo niko hai... hawa wadudu lazima watakuwa wananiogopaVijana wengi ndiyo wagonjwa si unaona kama huyo hapo juu.....tutakukosa shaurilo
Tutaonana paradiso.Denda nilikula ila oil sikupima
Duh......ina maana kashavuka level ya kwanza tayari
Kama first line unapata side effect nyingi na kubwa..then inabidi upewe second line..bongo first line ni TLEHiyo second line inatumika baada ya kwanza kufail au inakuwaje Mkuu.
Asante mkuu...... kuna mdau wasapu ananiambia hizo ni PEP je ni kweli?Hapana , ni kwamba tiba ya ARV imepangwa kwa utaratibu wa first line ( yaani default treatment) then endapo kukitokea tatizo lolote kwenye first line hususani reason kubwa ya kuhama first line kwenda second line ni TREATMENT FAILURE ambayo wataalam lazima wajiridhishe kuwa kweli kabisa ni treatment failure ndipo mgonjwa anahamishiwa kwenda second line.
Mfano hata malaria, dawa mseto ya malaria kwa Tanzania ndio first line, yaani inaweza kutibu malaria kwa karibia 90% ya wagonjwa watakaoitumia na pia wagonjwa wengi wanaweza kuhimili zile ‘Side effects’
Ikitokea malaria ikaonekana ni positive kwa mgonjwa ndani ya wiki mbili au mwezi baada ya tiba ya dawa mseto ndipo mgonjwa huhamishiwa second line sasa ambayo pia kitaifa inajulikana ni DUO COTEXIN na wanafamilia wenzake kama ARTEQUICK NA ARTEQUIN
ni matumaini yangu mkuu umenielewa hapo kwenye habari ya first line na second line kwa mfano hai wa malaria.
NAWASILISHA.
PEP Akikusudia kusema nnAsante mkuu...... kuna mdau wasapu ananiambia hizo ni PEP je ni kweli?
Nikijihisi malaria tu huwa nakimbilia DUO COTEXIN kumbe nakosea ehee, nimejifunzaHapana , ni kwamba tiba ya ARV imepangwa kwa utaratibu wa first line ( yaani default treatment) then endapo kukitokea tatizo lolote kwenye first line hususani reason kubwa ya kuhama first line kwenda second line ni TREATMENT FAILURE ambayo wataalam lazima wajiridhishe kuwa kweli kabisa ni treatment failure ndipo mgonjwa anahamishiwa kwenda second line.
Mfano hata malaria, dawa mseto ya malaria kwa Tanzania ndio first line, yaani inaweza kutibu malaria kwa karibia 90% ya wagonjwa watakaoitumia na pia wagonjwa wengi wanaweza kuhimili zile ‘Side effects’
Ikitokea malaria ikaonekana ni positive kwa mgonjwa ndani ya wiki mbili au mwezi baada ya tiba ya dawa mseto ndipo mgonjwa huhamishiwa second line sasa ambayo pia kitaifa inajulikana ni DUO COTEXIN na wanafamilia wenzake kama ARTEQUICK NA ARTEQUIN
ni matumaini yangu mkuu umenielewa hapo kwenye habari ya first line na second line kwa mfano hai wa malaria.
NAWASILISHA.
Okaaay Shukrani.Kama first line unapata side effect nyingi na kubwa..then inabidi upewe second line..bongo first line ni TLE
Post Exposure prop......PEP Akikusudia kusema nn
Thanks mzeeNikijihisi malaria tu huwa nakimbilia DUO COTEXIN kumbe nakosea ehee, nimejifunza
Ndiyo unapima Mkuu kama unaijali afya yako.
Hiyo second line inatumika baada ya kwanza kufail au inakuwaje Mkuu.
Wapime na watumie kinga.Ushauri mzuri nadhani ni kutumia kinga sababu mtu anaweza pima leo yuko fresh ukajiachia na kumbe maambukizi kapata jana au juzi, pia anaweza pima leo yuko fresh kesho kaukanyaga kwa mtu mwingine we kesho kutwa mnakutana kama kawa ukijua ni mzima.
Life is full of betting aisee... usione kupima ni ujanja tumia kinga
Ohooo[emoji15] [emoji15]yaani kila mahusiano unapima,kuna mahusiano sio rasmi unaanzisha kuvuta muda tu wakat unatafuta mtu sahihi.
Asante mkuu...... kuna mdau wasapu ananiambia hizo ni PEP je ni kweli?
Shukrani kwa ufafanuzi.Yes mpaka kuwe na treatment failure mkuu ambayo inaweza kuwa
1. Immunological failure ( kama allergic reaction baada ya kutumia dawa, hapa nazungumzia intolerable reactions kabisa)
2. Virological failure, yaani idadi ya vijidudu haipungui japokua mgonjwa anameza dawa
3.clinical failure hapa kuna mengi kitaalam ambayo nitaandika hata siku nyingine
Ila pia kuna toxicity ya dawa maybe ni mjamziti inabidi abadilishiwe from first to second line
Nikijihisi malaria tu huwa nakimbilia DUO COTEXIN kumbe nakosea ehee, nimejifunza