Je, hili ni box la vidonge vya ARV?

Je, hili ni box la vidonge vya ARV?

Emtricitabine/tenofovir ni second line treatment hiyo mkuu wangepekua zaidi wangeona kibox kingine kimeandikwa atazanavir ambayo humezwa na hiyo ‘30 comprimes’ [emoji846]
IMG_0097.JPG
 
Pia inategemeana na romance kuna romance nyingine unaweza pata ukimwi hata bila sex

Mf. Mdomoni kama kutakua na mchubuko wa size yeyote ile


So nenda kapime ukikuta huna rudi baada ya next three month Pima tena hapo utakua umejijua kama uko salama au lah..l
Bora umempa elimu ya bure huyo mleta mada coz anaonekana ni kitoto cha shule bado.
 
Miezi kama miwili hivi iliyopita kuna mwanamke nilikutana naye. Sikusex naye zaidi ya romance (Nashukuru Mungu). Siku mbili zilizopita nimesikia kuwa ni muathirika na anakunywa dawa na rafiki zake wamekuta hiko kibox chini wanadai ni cha ARV's.

Juzi baada ya kupata hizo taarifa amezidi kuniganda! Naomba kuhakikisha je ni kweli?


View attachment 830687

For government Tanzania. Not for sale” Mkuu umeisha. Pole kwa romance kali.
 
Mnapima hivyo hivyo mara mbili kwa week, ila wewe mzee yote hayo ya nini jitulize tu.
Hahahaha... nikijituliza hawa wachuchu vikojoleo si vitaziba? Nawasaidia vijana bhana... vijana wa siku hizi wameshindwa kabisa kuwahudumia wachuchu .... sijui ndo hivi vyuma?
 
Back
Top Bottom