Je, hili ni box la vidonge vya ARV?

Je, hili ni box la vidonge vya ARV?

Fanya haraka. Mnaopima mnatusaidia sana ambao hatupimi hata kwa kushikiwa bastola
akipima bibi inatosha au sio!! hahaha [emoji23][emoji23][emoji23]
nyie wazee wa enzi za ukoloni wabishi sana.
 
Mtumiaji wa arv ukimpima tu kienyeji chumbani kwako ataonekana negative ..... Kuhusu ilo kopo ni lenyewe ndgu
 
Back
Top Bottom